Mtoto wa Diamond (Tiffah), Apata Dili Jipya la Kusoma Bure

Nyota njema uonekana asubuhi,mtoto wa rais mwenye Ikulu yake Madale pembeni kidogo ya jiji la Dar es salaam Tiffah au mtoto Tee amepata dili la kusoma bure kutoka shule ya ushuani wanakokula burger saa nne na kutumia kengere za umeme kwenda mapumziko ,Tanganyika international school (TIS) kwa kipindi chote na huku kumfanya awe balozi wa shule hiyo lkn ubalozi huo kuwa siri mpaka mtoto atakapoanza shule.
Mtoto Tee anakuwa moja ya watoto wachache wasiotokana na familia za kifisadi kusoma shule yenye swimming pool lenye kiwango cha olympic.
Lkn habari zinadai wakina dada wanaopenda attention mjini Wema na Jokate baada ya kusikia habari hizi walijaribu kuzunguka shule kadhaa hapa town kuona kama na wao wanaweza kupata dili kama hilo kwa watoto wa king Kiba ili kwenda sambamba huku baadhi ya shule zikidai ubalozi wa Tembo unamtosha kabisa King huyo wa coke studio.
Inadaiwa pia Diamond ataenda Uganda next month kushoot video ya wimbo mpya ambao Zari ameimba kiitikio na dada yake Diamond amefanya intro
Chanzo: Msaga Sumu/Jamii forums
Toa Maoni yako

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hadithi za Abunuasi!

    ReplyDelete
  2. Ok japokuwa tunasomaga Mara moja mja sn lkn this is too much UWongo mpaka boring boring

    ReplyDelete
  3. Ndoto za alinacha!

    ReplyDelete
  4. UJINGA + UPUMBAVU KADANG´ANYE VICHAA WENZENU WANAOPENDA KIKI KAMA DOMO.

    ReplyDelete
  5. Hamumsahau Wema mpaka mnaingia kaburini. Majnuni

    ReplyDelete
  6. bado mnaweweseka na Mimba ya Wema. najitahidi kila njia mumpaishe Dai na kizee chake.

    ReplyDelete
  7. unafiki huwooo! Almasi alimwambia Wema ashika mimba azae if she can. Now katahayari anajifanya yuko bussy na studio. hata kiki ya mtoto wa Katunzi zimeisha.

    ReplyDelete
  8. yeye mwenyewe hakwenda shule itakuwa Tiffa? akamsomeshe kwa mtogole.

    ReplyDelete
  9. ndo maana hata ikulu hawakukupa kiwanja kama samatta una mdomo kama msoga
    aliigeuza ikulu shamba la bibi
    fyuuuuuuuu
    chezea Magufuli wewe

    ReplyDelete
  10. Hahahaaaa! u made my day Anony 5.12 PM

    ReplyDelete
  11. acha usenge domondi unionekana unapenda sana vya bure

    ReplyDelete
  12. mtoto mwenyewe wameshambemenda kawa macho kumchuzi. nahisi mkiendelea kumbemenda atakuwa na IQ ndogo kama ya domo... mrudisheni kwa baba yake.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad