Mume Wangu Ananinyima Unyumba


Mimi ni mwanamke mwenye watoto wawili na nipo kwenye ndoa kwa miaka nane sasa.Tumekuwa tukiishi maisha ya ugomvi kwa muda na mume wangu, ila nikaona ni vyema nijishushe na nisihoji chochote.Mimi ndiye ninahangaika na familia na mambo yote hakai kujadili jambo lolote la maana na mimi.

Binafsi niliona nijishushe na nisihoji chochote ila tatizo limekua ni kwenye unyumba. Kwa kweli navumilia sana tunalala pamoja najitahidi kujiweka safi, kubadili mazingira ya chumba, manukato na hata mavazi lakini wapi!

Naweza nikamfanyia vikorombwezo vyote ila atageukia upande wa pili na kukoroma nimemsihi sana yeye anasema anawaza maisha hawezi kuendekeza ngono.Tunaweza kukaa mpaka miezi mitatu hatujakutana,hili swala linanikondesha jamani.

Naombeni njia ya kujinasua katika hili janga.

 

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Dah pole mungu atakusaidia hilo janga km kweli mvumilivu m.mke wa nguvu tena shoka la kukatia mbuyu

    ReplyDelete
  2. Pole sana mdogo wangu. Usichoke kumwomba Mungu nae atamfungua huyo mmeo maana yawezekana kafungwa na nguvu za giza zinazompelekea asahau ya kuwa wewe ni mke wake.

    ReplyDelete
  3. Huyo atakuwa anamchepuko umemzidi akili, ndoa ni tendo la ndoa sasa kama hakuna tendo la ndoa kuna ndoa hapo kweli!!? jitafutie mchepuko wa kukutuliza ili asipokupa unakua umeshajipooza zako. Halafu mnaendelea kulea watoto wenu kama kawaida. Upo hapo bi dada.

    ReplyDelete
  4. shoga upo kama mimi, nilikuwa naliwaza wee mpk kukonda ila nimechunguza mchepuko hakika hana, nilishamfuma na punjeto zaidi ya mara 3,pia sometime kama ananibaka ajiaandaa mwenyewe kasha huyo akurupuka afike basi wapi nitamsaidia lakini hukojoa nje inakuwa haisimami naona madhara ya nyeto.ila nina mchepuko kwa raha zangu,

    ReplyDelete
  5. Mmh mada km imegeuzwa kdg tupo kwenye kitchen part napita lkn

    ReplyDelete
  6. Kina mama lkn wakati mwengine tunayataka wenyewe tunalala namiwigi ya miezi mitatu kichwani, hairs shwi harufu pwii,Na kitu chengine waliowengi hasa kina mm wa kiafrika sio wote lkn wengi tumezaa watoto watatu tuu matumbo hayo km tunalisha jeshi tuwe active tutizame miili yt uwezo tunawo muda mwingi kwenye kynunua sare Na kutengeneza masanduku ya harusi so hayo yote tunayakaribisha wenyewe most of them

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad