Mwanamuziki Tekno wa Nigeria Amkana Laivu Gigy Money Baada ya Gigy Kutambishia Kalala Nae..Adai Alilala na Meneja Wake...Amsifu Lulu Michael

Mwanamuziki Tekno wa Nigeria Amemkana laivu mrembo wa Tanzania Gigy Money Aliyekuwa Busy akionyesha ushahidi kuwa yeye na Mwanamuziki huyo walilala chumba kimoja Hotelini alipokuja kufanya show Tanzania Siku ya Mwaka Mpya....

Teckno Ameingia Kwenye Page yake ya Instagram na Kuandika kuwa yeye Hakulala na Gigy bali ni meneja wake ndio alilala na Gigy usiku ule na kilichotokea ni Gigy aliomba kupiga picha na jamaa ndio ikiwa chance ya Mrembo huyo kutumia kama ushahidi...

Wakati huo huo Mwanamuziki huyo ameonyesha kumzimikia mrembo Lulu wa Tanzania kwa kumpa sifa kedekede kupitia Ukurasa wake wa Instagram

Teckno amepost picha hiyo na Kuandika Haya:


Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad