Mwigizaji wa Filamu za Kibongo anayejulikana kama Batuli ambae alishiriki vilivyo kwenye kampeni za kuipigania CCM kushika dola ameandika Meneno kwenye ukurasa wake wa Twitter yanayoonekana kama Dongo kwa rais John Magufuli....Nimekuwekea hapa chini aliyoandika,,,
Je Wadhani ni nini Kimemfika Hadi kutoa Maneno Kama Hayo?
Udaku Special Blog
Udaku Special Blog
Walizani akishinda ni mteremko? Kkkkkkk hapa kazi tu.
ReplyDeleteHahahahaha mwee, Kila zama na kitabu chake Batuli, upo!
ReplyDeletehapa kazi tuu bila kujali ulimkampenia au ukawa
ReplyDeleteMtaweweseka sana mwaka huu maana mlizoea kuwekwa kwenye majumba ya kifahari na msiwaze kujenga za kwenu.
ReplyDeleteMaskini pole wee,na Sijui bwana wako alikuwa TRA,BANDARI au msambaza sembe mujini?HAPA KAZI TU.
Hii yote ni kasi ya JPJM ya kuwafukuza kazi mabwana zenu wasiowajibika ipasavyo,na bado mbona mtapauka sana
ReplyDeleteHahahahahahahahhahahaahahahahahahaha.........ndo mkome siku zingine akili ya kuambiwa changanya na zako
ReplyDeleteHivi wee msanii kweli unapenda haki na kufaa kuitwa kioo cha jamii??ni kitu gani kibaya kupindukia alichokosea huyo kiongozi kwa wananchi wake?au tatizo mapedeshee wenu kuwajibishwa?sikutegemea mtu kama Batuli unaishi mjini kwa kutegemea mabwana.Badiliki,maana HAPA KAZI TU.
ReplyDeleteKazowea kubebwa. Hapo kazi tu. Hivi na hizo scandal zenu mtaleta picha gani? Anatafuta kiki huyu.
ReplyDeleteWaliunda kampeni ya mama ongea na mwanao.Sasa kibao kimegeuka Baba anaongea na mabwana zao.Watalijua jiji
ReplyDeleteSiku zote binadamu ukiwa mkweli ni shida,binafsi nimebomolewa nyumba upande kupisha maendeleo ya nchi lakini bado siwezi kumlaani magufuli maana nimejenga sivyo.
ReplyDeleteBinadamu ukipindisha amri za Mungu lazima kuna siku utaumbuka,hii ndio inakusumbua bi dada.Kwani vipi dada?au ulikuwa punda?au kibano cha mapedeshee?Hameni mjini.HAPA KAZI TU.
ReplyDeletehapa kazi tu inawanyima ucingizi....mtajibagata mwaka huu
ReplyDeletehapa kazi tu inawanyima ucingizi....mtajibagata mwaka huu
ReplyDeleteNilikuwa siamini kama wasanii wengi wako mjini kwa kutegemea kuuza miili yao,lakini kutokana na kauli ya batuli sasa nimeamini,aibuuuuuuuuuuuu.
ReplyDeletePOLE BATULI,NDIO MAANA UMENYWEA.
ReplyDeletewasani apa mjini wako kwa kutegemea mapedeshe yani hapa hakuna eti sijui kipaji changu kimenipa utajiri hakuna hilo
ReplyDeletewasani wote hao wa kike ni malaya wa kutupwa na hao wasani wa kiume ni makuhadi balaa kwa vidosi wa serikalini sasa JPJM kakaza uzi imekuwa shida mikorogo sasa imeisha usoni wamepauka balaa
huyo magufuli kmamtesa bwana ako muuza unga au yule kigogo wa tra na bandari au yule mfanyabiashara mkwepa kodi??
pumbavu kabisa stupid girl huna akili
ndo maana hi tasnia ya filamu nchi haitakuja endele ng'oo coz mnajikuta babakubwa wakati scene zenyewe ata mtoto mdogo ukimwambia cheza ana cheza
fuck bongo movieee
Dah,Asante JPJM kwa kupunguza kasi ya matumizi ya ovyo kwa waume zetu,na heshima kwenye ndoa za wanawake wengi imerudi.
ReplyDeleteWenye mabaa wanalamika hela hakuna,wasanii wanalalamikia mapedeshee wamesepa,uwiiii!ninachoomba kwa Mungu atakaepokea kijiti cha Magufuli awe hivyohivyo.
Apeleke kimavuzi chake huko huko #HAPAKAZITU anafikiria atauleta umalaya wake hapa.......aupeleke umalaya wake na uzembe wake Nchi za jirani huko kama Kenya mamaye atashangaa na kasi ya Magufuli.
ReplyDeleteApeleke kimavuzi chake huko huko #HAPAKAZITU anafikiria atauleta umalaya wake hapa.......aupeleke umalaya wake na uzembe wake Nchi za jirani huko kama Kenya mamaye atashangaa na kasi ya Magufuli.
ReplyDelete