Mwigizaji Batuli Yamemfika Hapaaa! Amrushia Dongo Rais Magufuli...Lisome Hapa

Mwigizaji wa Filamu za Kibongo anayejulikana kama Batuli ambae alishiriki vilivyo kwenye kampeni za kuipigania CCM kushika dola ameandika Meneno kwenye ukurasa wake wa Twitter yanayoonekana kama Dongo kwa rais John Magufuli....Nimekuwekea hapa chini aliyoandika,,,
Je Wadhani ni nini Kimemfika Hadi kutoa Maneno Kama Hayo?

Udaku Special Blog
Tags

Post a Comment

19 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Walizani akishinda ni mteremko? Kkkkkkk hapa kazi tu.

    ReplyDelete
  2. Hahahahaha mwee, Kila zama na kitabu chake Batuli, upo!

    ReplyDelete
  3. hapa kazi tuu bila kujali ulimkampenia au ukawa

    ReplyDelete
  4. Mtaweweseka sana mwaka huu maana mlizoea kuwekwa kwenye majumba ya kifahari na msiwaze kujenga za kwenu.
    Maskini pole wee,na Sijui bwana wako alikuwa TRA,BANDARI au msambaza sembe mujini?HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete
  5. Hii yote ni kasi ya JPJM ya kuwafukuza kazi mabwana zenu wasiowajibika ipasavyo,na bado mbona mtapauka sana

    ReplyDelete
  6. Hahahahahahahahhahahaahahahahahahaha.........ndo mkome siku zingine akili ya kuambiwa changanya na zako

    ReplyDelete
  7. Hivi wee msanii kweli unapenda haki na kufaa kuitwa kioo cha jamii??ni kitu gani kibaya kupindukia alichokosea huyo kiongozi kwa wananchi wake?au tatizo mapedeshee wenu kuwajibishwa?sikutegemea mtu kama Batuli unaishi mjini kwa kutegemea mabwana.Badiliki,maana HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete
  8. Kazowea kubebwa. Hapo kazi tu. Hivi na hizo scandal zenu mtaleta picha gani? Anatafuta kiki huyu.

    ReplyDelete
  9. Waliunda kampeni ya mama ongea na mwanao.Sasa kibao kimegeuka Baba anaongea na mabwana zao.Watalijua jiji

    ReplyDelete
  10. Siku zote binadamu ukiwa mkweli ni shida,binafsi nimebomolewa nyumba upande kupisha maendeleo ya nchi lakini bado siwezi kumlaani magufuli maana nimejenga sivyo.

    ReplyDelete
  11. Binadamu ukipindisha amri za Mungu lazima kuna siku utaumbuka,hii ndio inakusumbua bi dada.Kwani vipi dada?au ulikuwa punda?au kibano cha mapedeshee?Hameni mjini.HAPA KAZI TU.

    ReplyDelete
  12. hapa kazi tu inawanyima ucingizi....mtajibagata mwaka huu

    ReplyDelete
  13. hapa kazi tu inawanyima ucingizi....mtajibagata mwaka huu

    ReplyDelete
  14. Nilikuwa siamini kama wasanii wengi wako mjini kwa kutegemea kuuza miili yao,lakini kutokana na kauli ya batuli sasa nimeamini,aibuuuuuuuuuuuu.

    ReplyDelete
  15. POLE BATULI,NDIO MAANA UMENYWEA.

    ReplyDelete
  16. wasani apa mjini wako kwa kutegemea mapedeshe yani hapa hakuna eti sijui kipaji changu kimenipa utajiri hakuna hilo
    wasani wote hao wa kike ni malaya wa kutupwa na hao wasani wa kiume ni makuhadi balaa kwa vidosi wa serikalini sasa JPJM kakaza uzi imekuwa shida mikorogo sasa imeisha usoni wamepauka balaa
    huyo magufuli kmamtesa bwana ako muuza unga au yule kigogo wa tra na bandari au yule mfanyabiashara mkwepa kodi??
    pumbavu kabisa stupid girl huna akili
    ndo maana hi tasnia ya filamu nchi haitakuja endele ng'oo coz mnajikuta babakubwa wakati scene zenyewe ata mtoto mdogo ukimwambia cheza ana cheza
    fuck bongo movieee

    ReplyDelete
  17. Dah,Asante JPJM kwa kupunguza kasi ya matumizi ya ovyo kwa waume zetu,na heshima kwenye ndoa za wanawake wengi imerudi.
    Wenye mabaa wanalamika hela hakuna,wasanii wanalalamikia mapedeshee wamesepa,uwiiii!ninachoomba kwa Mungu atakaepokea kijiti cha Magufuli awe hivyohivyo.

    ReplyDelete
  18. Apeleke kimavuzi chake huko huko #HAPAKAZITU anafikiria atauleta umalaya wake hapa.......aupeleke umalaya wake na uzembe wake Nchi za jirani huko kama Kenya mamaye atashangaa na kasi ya Magufuli.

    ReplyDelete
  19. Apeleke kimavuzi chake huko huko #HAPAKAZITU anafikiria atauleta umalaya wake hapa.......aupeleke umalaya wake na uzembe wake Nchi za jirani huko kama Kenya mamaye atashangaa na kasi ya Magufuli.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad