Naenda Bao Moja tu, Halafu Siwezi Sirudii Tena, Nifanyaje?

Nikikutana na Malkia Elizabeth kunako sita kwa sita huwa naenda bao moja tu! Sirudii tena nini tatizo? na nifanyeje ili niendege bao tatu au kumi nakuendelea nitakapokuwa na Mamito wangu?
Naomba Ushauri Tafadhali
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kunywa maji mengi fanya mazoezi ya viungo kula chakula kizuri usipende kula chips mayai...kula ugali wa dona mboga za majani kwa wingi matunda kwa sana..na usitumie vilevi kupitiliza fuata haya utarudi kusimulia kila la kheri

    ReplyDelete
  2. nicheck mimi bro nitakusaidia kumpa ukuni demu wako.

    ReplyDelete
  3. fanya mazoezi pata muda wa kupumzika kumywa ,aji kwa wimgi acha kupiga punyeto,epuka kuangalia pivha za ngono.
    ukifanya hivyo itakusaidia kuondokana na tatizo lako

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad