Nuh Mziwanda: Nilishaficha Mambo Mengi Sana Mabaya ya Shilole kwa Maslahi ya Penzi Letu

Nuh Mziwanda amedai kuwa aliyofanyiwa na Shilole ni mengi na mazito ambayo ilibidi ayafiche kwa maslahi ya penzi lao na heshima kwake

Akiongea kwenye kipindi cha D’Weekend Chat Show cha Clouds TV Ijumaa hii mbele ya Shilole aliyekuwa amejikunyata pembeni kwa kukasirishwa na uwepo wa ex wake studioni hapo bila kutaarifiwa mwanzoni, Nuh alisema Shilole hakuwa mwanamke wa kutawaliwa.

“Yeye anajua mambo gani alikuwa anafanya kwangu mambo ambayo yalikuwa hayastahili anifanyie. Alikuwa anafanya kwa kunichukulia poa kwamba nitafanya nini lakini at end of the day kila kitu kina mwanzo na mwisho,” alisema.

Nuh alisema ni ngumu tena kurudisha imani kwa mpenzi wako huyo licha ya kukiri kuwa bado hajaweza kuwa tayari kuwa na mwanamke mwingine kwa sasa.

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani basi tena shukuru mungu angalia mengine mbona bado young you have a lot of things achana Na kulalamika lalamika

    ReplyDelete
  2. UMEULIZWA?! HAYO NI BINAFSI HAYUTUHUSU KWANINI UKUSEMA SIKU ZILE MLIPOKUWA PAMOJA.? ACHA UMARIO.... ROHO INAKUUMA SANA. PELEKA USHOGA WAKO IRINGA.

    ReplyDelete
  3. huyu dogo alizaliwa mwanaume kwa bahati mbaya ana mambo ya kike sana. We unataka uumtale kisa unakojoa kwa kusimama wakati huna hata senti ya kumtunza huna unalishwa na kuvalishwa kazi yako haijulikani! Huna tofauti na kale kalevi petitman ushuzi.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad