Staa wa Bongo Muvi, Salma Jabu ‘Nisha’ ambaye kwa sasa yupo kwenye malavidavi na Mwanamuziki Baraka Andrew ‘Barakah Da Prince’, amefunguka kuwa hajali ni wangapi wanampenda jamaa huyo kikubwa analala naye na kuamka naye.
Akizungumza na mwandishi wetu, Nisha alisema kuwa kwa kawaida tamaa kwa wanaume ni jambo la kawaida lakini kwa upande wake anaangalia ni jinsi gani mwanaume huyo anavyompenda na kumjali huku akilala na kuamka naye.
Chanzo: Global Publishers
Anampwelepweta tu kijana wetu
ReplyDeleteHebu we kijana kakate kucha hizo na utoe uchafu kwenye vidole khaaa yani na ustaa wako huoni uchafu kwa kucha...we sijui baraka de wateva unatia kinyaa na we bibie msafishe bwana wako mfyuuu..mikucha michafuuu nasikia kutapika kabisaa
ReplyDeleteGgh
ReplyDeleteHiyo kali
ReplyDeleteHuwa nashangaa sana wanawake wasafi halafu wanashindwa kuwasafisha waume zao. Kama umeamua kua naye msafishe bhana usitutie aibu kwani huoni kinyaa kua na mpenz mchafu sasa kwana mnadendekaje kama mchafu? Muwe mnakwenda hata kwenye vicheni party bhana mbona kuna watu wanachukua wasukuma mikokoteni halafu wanawasafisha na wanakua wasafi kabisa? plz wanawake tujifunze usafi katika waume zetu na hata pia miili yao. ILi umpende msafishe hata kama atapendwa na wengine haijalishi kabisa
ReplyDelete