Penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba linazidi kupamba moto.
Wawili hao wanaonekana kuanza kukubaliana na ukweli kuwa hawawezi tena kuyaficha mahaba yao kiasi cha kuanza kufanya photoshoot za pamoja za mradi ambao bado haujajulikana ni wa nini.
Weekend iliyopita, picha yao inayowaonesha wakiwa wamezama kwenye dimbwi la mahaba, ilisambaa mtandaoni huku Jokate akiiweka pia kwenye Instagram.
hii couple haina nguvu kabisa
ReplyDeletehusikii hata ikijadiliwa kama ile ya domo na zari wema na idriss
Enter your comment...kwani watu wanakua couple ili wajadiliwe?? wewe nani anakujadili.10:51
ReplyDeletesababu wao hawana ubishoo na ukabwela kama hao akina domo na zari! kazi kuwalipa waandishi ili kila siku wawe magazetini!pumbaf!
ReplyDeletesasa kama sio mabisho hayo mapicha wanatuma ya nin kwenye mitandao kama sio kufanya matangazo
Deletepumbavu baba ako na mama yako nyama wewe