Picha Hii ya ‘Mahaba Niue’ ya Jokate na Alikiba Yawa Gumzo Mtandaoni

Penzi la Jokate Mwegelo na Alikiba linazidi kupamba moto.

Wawili hao wanaonekana kuanza kukubaliana na ukweli kuwa hawawezi tena kuyaficha mahaba yao kiasi cha kuanza kufanya photoshoot za pamoja za mradi ambao bado haujajulikana ni wa nini.

Weekend iliyopita, picha yao inayowaonesha wakiwa wamezama kwenye dimbwi la mahaba, ilisambaa mtandaoni huku Jokate akiiweka pia kwenye Instagram.

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. hii couple haina nguvu kabisa
    husikii hata ikijadiliwa kama ile ya domo na zari wema na idriss

    ReplyDelete
  2. Enter your comment...kwani watu wanakua couple ili wajadiliwe?? wewe nani anakujadili.10:51

    ReplyDelete
  3. sababu wao hawana ubishoo na ukabwela kama hao akina domo na zari! kazi kuwalipa waandishi ili kila siku wawe magazetini!pumbaf!

    ReplyDelete
    Replies
    1. sasa kama sio mabisho hayo mapicha wanatuma ya nin kwenye mitandao kama sio kufanya matangazo
      pumbavu baba ako na mama yako nyama wewe

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad