Rais Dkt Magufuli Afanya Uteuzi Wa Naibu Gavana Wa Benki Kuu Ya Tanzania

Rais Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, amemteua Ndugu Julian Banzi Raphael, kuwa Naibu Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania.

Kabla ya uteuzi huu Ndugu Julian Banzi Raphael alikuwa Katibu Mkuu, Wizara ya Biashara na Viwanda, Serikali ya Mapinduzi Zanzibar.

Ndugu Julian Banzi Raphael anachukua nafasi iliyoachwa wazi na Ndugu Juma RELI ambaye muda wake umemalizika tarehe 12 Julai, 2015

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hivi Tanzania tuna matatizo gani
    Kwanini wanasiasa waitwe majina Na kutangulia taaluma zao
    USA Obama ni professor WA sheria
    Anaitwa baraka Obama
    Wanasiasa haswa ccm Kama vyeo vya talaaluma zenu
    Nendeni vyou vikuu mkafundishe
    Awamu ya nne Kweli uozo wote huu
    Na nyinyi waandishi WA habari ndo chanzo
    Hata Kama Mtu waziri uprofessor wake akafundishe chuoni tuna shida kubwa ya maprofesa Na siyo bungeni
    Watoa Hoja nzuri wote bungeni si maprofesa
    Kilichowakimbiza nini vyuoni kukimbilia siasa

    ReplyDelete
    Replies
    1. we mkundu kunuka kweli sasa hilo limekuuma na wewe kasome upate jina la kukutangulia katika taaluma yako
      wivu tuu umekuja
      huyo obama proffesor wa sheria anafanya nini white house??
      mijitu ya ukawa sijui mkoje kazi kupotosha umaa tuu
      na akili zenu mbili

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad