Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi na kumfukuza kazi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bw. Faisal Issa kutokana na utovu mkubwa wa nidhamu aliouonesha katika kikao cha kamati ya ulinzi kilichofanyika tarehe 15 Januari, 2016 Mjini Mwanza.
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema Rais Magufuli amechukua hatua hiyo baada ya kupokea taarifa ya yaliyotokea katika kikao cha kamati ya ulinzi cha Mkoa, kilichoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo.
Gerson Msigwa
Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU.
Dar es salaam
15 Januari, 2016
Je kama Mkuu wa Mkoa ndio kamkosea Katibu Tawala? Jamani haki itendeke hii fukuzafukuza imekuwa too much!
ReplyDeletekama arusha mkuu wa mkoa alikuwa na scandal kibao wakukaya hapa umezidi
Deleteanza fukuza ikulu kwanza hizo shombo za msoga
endeleeni kuisoma
ReplyDeleteSawa, lakini hukumu ya mkubwa huwa ukweli ingawa kazi kama ras kusema kweli inahitaji ufuatiliaji kwanza kabla ya kumchulia hatua. Huu ni udhalilishaji watumishi wa umma kwa kivuli cha siasa.
ReplyDeleteMUNGU yu pamoja nae atampa riziki nyingine kwa wakati ufaao
naona hata Janet naye talaka iko njiani hatumuoni
ReplyDeletefukuza fukuza bomoa bomoa, pasua majipu
kisa hapa kazi tu
naona hata Janet naye talaka iko njiani hatumuoni
ReplyDeletefukuza fukuza bomoa bomoa, pasua majipu
kisa hapa kazi tu