Rais Magufuli AMFUKUZA Kazi Katibu Tawala Mkoa wa Mwanza Kwa Utovu wa Nidhamu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli ametengua uteuzi na kumfukuza kazi Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Bw. Faisal Issa kutokana na utovu mkubwa wa nidhamu aliouonesha katika kikao cha kamati ya ulinzi kilichofanyika  tarehe 15 Januari, 2016 Mjini Mwanza.

Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue amesema Rais Magufuli amechukua hatua hiyo baada ya kupokea taarifa ya yaliyotokea katika kikao cha kamati ya ulinzi cha Mkoa, kilichoongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Magesa Mulongo.

Gerson Msigwa

Kaimu Mkurugenzi wa Mawasiliano, IKULU.

Dar es salaam

15 Januari, 2016

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Je kama Mkuu wa Mkoa ndio kamkosea Katibu Tawala? Jamani haki itendeke hii fukuzafukuza imekuwa too much!

    ReplyDelete
    Replies
    1. kama arusha mkuu wa mkoa alikuwa na scandal kibao wakukaya hapa umezidi
      anza fukuza ikulu kwanza hizo shombo za msoga

      Delete
  2. endeleeni kuisoma

    ReplyDelete
  3. Sawa, lakini hukumu ya mkubwa huwa ukweli ingawa kazi kama ras kusema kweli inahitaji ufuatiliaji kwanza kabla ya kumchulia hatua. Huu ni udhalilishaji watumishi wa umma kwa kivuli cha siasa.

    MUNGU yu pamoja nae atampa riziki nyingine kwa wakati ufaao

    ReplyDelete
  4. naona hata Janet naye talaka iko njiani hatumuoni
    fukuza fukuza bomoa bomoa, pasua majipu
    kisa hapa kazi tu

    ReplyDelete
  5. naona hata Janet naye talaka iko njiani hatumuoni
    fukuza fukuza bomoa bomoa, pasua majipu
    kisa hapa kazi tu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad