ROSE NDAUKA Afunguka Kuhusu Nyumba yao Kubomolewa...Adai Hawezi Shikwa na Presha Kama Wastara

WAKATI mamia ya wakazi wa Dar es Salaam waishio mabondeni na pembezoni mwa bahari na mito wakihaha nyumba zao kuvunjwa, staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema hajali kama nyumba yao itakutwa na bomoabomoa hiyo.

Badala yake, alimpongeza Rais John Magufuli kwa kusimamia zoezi hilo, kwani wengi wa wanaobomolewa walishapewa taarifa mapema na hawakutii agizo hilo la serikali, lakini akaitaka kuwaangalia kwa jicho la tatu watu ambao hawakupewa taarifa za zoezi hilo.

 “Wazazi wangu wakibomolewa nyumba naona kawaida tu, siwezi kuwa na presha maana kila kitu kinapangwa na Mungu, kama ni kubomoa wabomoe tu hatuna la kufanya,” alisema Rose.

Global Publishers

Udaku Special Blog

Post a Comment

4 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. huyu malaya anajisemesha nin??i kwani hizo nyumba za wazazi umejenga wewe, wastara alikuwa anazungumzia nyumba zake sio za wazazi. we uwezi kuwa na uchungu na kitu ambacho hujagharamia!! unaongea nini???, mwenzio kaolewa, haya sasa jifananishe naye tena kama unaweza kuolewa na mbunge. we endelea kugawa kwa bongo movie wenzio.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Safi sana Rose maana ni sheria kuvunja nyumba za mabondeni na zilizojengwa kiholela.

      Delete
    2. Wee nawe chokooooooo,kwani Kuolewa na mbunge umeona ni dili?

      Delete
  2. Anajiongelesha asichokielewa anataka sifa tu hana lolote!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad