Sakata la Bunge Kutokuonyeshwa Laivu Lawapatanisha Zitto Kabwe na Mbowe...Wapeana Mikono na Kukaa Pamoja

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe (kulia) akipeana mkono na Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe kabla ya kuanza kwa mkutano na waandishi wa habari wakipinga kitendo cha kutolewa kwa nguvu katika Ukumbi wa Bunge mjini Dodoma jana. 

March 10 2015, Zitto Kabwe alivuliwa uanachama wa CHADEMA  kwa tuhuma za kukihujumu na kikisaliti chama hicho.

Hata hivyo, baada ya muda mfupi, Zitto alijiunga na chama cha ACT-Wazalendo na kuteuliwa kuwa kiongozi mkuu wa chama hicho huku mwenyekiti wake akiwa Anna Mghwira

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. utu kwanza, chama baadae

    ReplyDelete
  2. Picha ya zamani hailingani na uhalisi wa habari ya januari 2016 tuache ushabiki usiokuwa na tija

    ReplyDelete
  3. Wote matapeli tu!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad