Serikali ya Eritrea yatoa Amri Kila Mwanaume Kuoa Wake Wawili

Wanawake wa Kieritrea
Huko nchini Eritrea, serikali imetoa tangazo kuwa, LAZIMA KILA MWANAUME, AOE MKE WA PILI. Hali hii imejitokeza baada ya kuwa na upungufu wa wanaume, kulikosababishwa na wengi kufia vitani wakati wa vita kati ya nchi hiyo na Ethiopia!

Serikali imetoa tangazo kwa Lugha ya Kiarabu, na kwa mujibu wa Tangazo hilo mwanaume atakayepuuzia agizo hilo, "atahukumiwa kwenda jela, pamoja na kazi ngumu".

Na mwanamke atakaye fanya juhudi zozote kumzuia mwanaume wake asioe bibi wa pili, adhabu yake ni "kifungo cha maisha gerezani", ili akose mume kabisa, ajue uchungu wa mwanamke mwenzie kuishi bila mwanaume.

Habari hii imekuwa , habari njema nchini Kenya, baada ya Wakenya kuanza kuomba Visa za kuingia nchini Eritrea na kuanza taratibu za kubadili urai, ili waweze kuoa wake wawili, baada ya kule Rombo watu kuanza kuchangamkia wake zao vilivyo, fursa zimehamia Eritrea.

Je, hapa Tanzania kuna haja, ya serikali pia kutangaza au kutoa agizo kama hilo..? Uhaba wa wanaume upo, japo chanzo kikuu hapa kwetu ni upungufu wa nguvu za kiume, pamoja na uoga wa maisha plus majukumu.
Tags

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hii kali wasisahau kupima tuu maana UKIMWI upo

    ReplyDelete
  2. Watuletee hao wanawake bongo jamani

    ReplyDelete
  3. Ndoa ndio dawah ya ukimmwi sasa wewe ulitaka wafanye umalaya? Ipi pole kuwa na wanatembea na mume mmoja au kugawa kama pipi kwa kila mtu? JARIBUNI MTAKATAVYO LAKINI MWISHO MSHINDI NI ALLAH

    ReplyDelete
  4. Hahahahaha wooow iyi ni habari njema kabisaaa

    ReplyDelete
  5. Mdau namba tatu sijapinga maandiko hats Mimi naelewa nasema vipimo kabla ya kushear kitanda Ni muhimu ukitaka usitake fyuuu

    ReplyDelete
  6. Enter your comment...duuuh walete na bongo hii kitu ingesaidia kuwatoa watu pole uwanja wa fisi na madanguro mbalimbali yangefungwa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad