Kwa kweli sijapata kuona mwanamuziki boring kama huyu....kila siku kulalamika lalamika tu kwenye nyimbo zake...mara sijui Wema kaniacha...mara sijui Jokate hajanizalia mtoto.........mara oohhh Pam katoa mimba zangu na sasa silali wala sisinzii huyu ni mwanamuziki gani jamani.....abadilike ama apumzike tujue moja mamayeeeeeeeeee................
Go go diamond endelea kupiga mzigo ngoma hii kiboko watasema sana na wengi wao ni haters but know that you are a big hit. Lov love love it brother keep killing.
asiambiwe nn eti haters kajambe huko, ataangaika sana na maa x wake. mbona hamtaji bi kizee wake alompachika mtoto wa Katunzi? alau eti DNA imetoka hahaaaaaa.
Jamani kila kukicha kumponda kijana wa watu : anatafuta maisha muacheni kipaji chake ni nyimbo za staili hii inamsaidia yeye na familia yake! Hayo majina katika nyimbo yalianza zamani tangu enzi ziko za akina mwanameka , hidaya nk hizo pia ni nyimbo. Tukikaa kukosoana hatutafika kokote kule mwacheni afanye nyimbo hizo ilimrad inamuingizia kipato
Mchemsho tunahitaji mpya ya kushtuwa hii mmh ile ya utanipenda pia hakuna kipya maisha ni kupanda na kushuka, kuna wengi walipanda na wameshuka na wake zao wanao, inabidi tujue maisha jinsi yalivyo hakuna kipya duniani, malkia anaweza kuolewa na muuza duka, na prince anaweza kuoa mfanyakazi bank n.k tuna taka mpya ya kushtua ambaya iko normal,
Na kubanaga sauti ndio nini sauti yk ile ya nyimbo ya mbagala ndio sauti ya kiume Na make up upake ya rangi yako usiwe juu mweupe mukono sawa Na tattoos zk sorry for that
Haters bana..kashida mno..dogo yuko vizuri na wakati uko busy kumnanga ye hana time kabisa koz hata hakujui..anamek paper tu Rais wa BF..#get a life haters.
maneno ndo yaleyale kila nyimbo. Wema bado anamtia wazimu
ReplyDeletekashajua Wema anamimba kaanza kuhaha.
ReplyDeletenyimbo ndo zilezile bado anaumia kila kukicha kwa maa x wake
ReplyDeleteYatasemwa yote lkn ukweli utabaki kuwa Dimond ni fundi asiyekuwa na mpinzani Bongo
ReplyDeleteDiamond anajua majungu tupa Kule
ReplyDeleteYaani bora umevuja he needs to.change it vyombo viko juu mno, alafu sauti zilezile he needs time off kwenye kutoa nyimbo they are too boring now ,
ReplyDeletehakuna cha majungu wala nn, kila nyimbo ni mafumbo ya maa x. halafu zinafanana. borring
ReplyDeletekila nyimbo dizain ya kutaja watu tuu? safari hii kamtaja Shani mama yake romy. abadilike sasa anachosha.
ReplyDeletekweli kiki zinakaribia kwisha anachanganya maneno na midundo No mvuto
ReplyDeleteBigiribigiri..bigiribigiri baiyoyo....the song is soo goood,ila beats kama za Aiyola vile.
ReplyDeleteKwa kweli sijapata kuona mwanamuziki boring kama huyu....kila siku kulalamika lalamika tu kwenye nyimbo zake...mara sijui Wema kaniacha...mara sijui Jokate hajanizalia mtoto.........mara oohhh Pam katoa mimba zangu na sasa silali wala sisinzii huyu ni mwanamuziki gani jamani.....abadilike ama apumzike tujue moja mamayeeeeeeeeee................
ReplyDeletePIGA KAZI DIAMOND MANENO YALIKUWEPO, YAPO NA YATAENDELEA KUWEPO. DON`T WORRY
ReplyDeleteSichoki kuiskiliza hii ngoma! Ni tamu aiseee!
ReplyDeleteGo go diamond endelea kupiga mzigo ngoma hii kiboko watasema sana na wengi wao ni haters but know that you are a big hit. Lov love love it brother keep killing.
ReplyDeleteasiambiwe nn eti haters kajambe huko, ataangaika sana na maa x wake. mbona hamtaji bi kizee wake alompachika mtoto wa Katunzi? alau eti DNA imetoka hahaaaaaa.
ReplyDeleteEnter your comment...Nyimbo imekaa byeee m2ngien mistali bas kama ana boa hovyooo
ReplyDeleteBoring boring tulia sasa jipe muda ,fanya show tengeneza pesa alafu ndo utoe wimbo huu utakushushia kiki
ReplyDeleteJamani kila kukicha kumponda kijana wa watu : anatafuta maisha muacheni kipaji chake ni nyimbo za staili hii inamsaidia yeye na familia yake! Hayo majina katika nyimbo yalianza zamani tangu enzi ziko za akina mwanameka , hidaya nk hizo pia ni nyimbo. Tukikaa kukosoana hatutafika kokote kule mwacheni afanye nyimbo hizo ilimrad inamuingizia kipato
ReplyDeleteVyombo viko juu sana harafu jarubu kubaditisha Aina ya uimbaji tumesha kuchoka na hizo story zako za dem zako
ReplyDeleteMchemsho tunahitaji mpya ya kushtuwa hii mmh ile ya utanipenda pia hakuna kipya maisha ni kupanda na kushuka, kuna wengi walipanda na wameshuka na wake zao wanao, inabidi tujue maisha jinsi yalivyo hakuna kipya duniani, malkia anaweza kuolewa na muuza duka, na prince anaweza kuoa mfanyakazi bank n.k tuna taka mpya ya kushtua ambaya iko normal,
ReplyDeletehakuna lolote nyimbo ya kitoto saana hana flvour
ReplyDeleteNa kubanaga sauti ndio nini sauti yk ile ya nyimbo ya mbagala ndio sauti ya kiume Na make up upake ya rangi yako usiwe juu mweupe mukono sawa Na tattoos zk sorry for that
ReplyDeleteJamani mkosoeni halafu mpeni big up sio mnammaliza km hajawahi kufanya jema atazimia bure
ReplyDeleteHaters bana..kashida mno..dogo yuko vizuri na wakati uko busy kumnanga ye hana time kabisa koz hata hakujui..anamek paper tu Rais wa BF..#get a life haters.
ReplyDelete