Sikuwahi Kumpenda Kanye West, Wiz Khalifa Ndiye Aliushika Moyo Wangu – Amber Rose

Amber Rose amesema hakuwahi kumpenda Kanye West wala ex wake wengine.

“Real love? Was with my husband [Khalifa],” Rose, aliimbia podcast ya Guys We F–ked ya Krystyna Hutchinson na Corinne Fisher.

“My soon-to-be ex-husband. Absolutely, for sure. When you really find love, you just know. So you look back at your past relationships and go, ‘Eh, I didn’t love those fools.'”

Rose alisema aliwahi kuwatamkia ex wake wengine ‘Nakupenda’ lakini hakujua upendo wa kweli hadi alipokutana na Khalifa. “He was the love of my life,” aliongeza kuhusu Wiz aliyezaa naye mtoto mmoja. “He was the only man I’ve ever loved.”

Rose na Khalifa walivunja ndoa yao miezi 14 baadaye September 2014, na ni wazazi wa mtoto wa kiume aitwaye, Sebastian, 2. Kabla ya Khalifa, Rose alikuwa na uhusiano na Kanye, kuanzia 2008 hadi 2010.

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anajikomba kwa wiz!!! Gold digger.

    ReplyDelete
  2. hakuwahi kumpenda Kanye West sababu alikuwa anataka pesa zake tu na sio kitu kingine mpaka akawa anamuibia hela Kanye West baada ya Kanye west kumshtukia ndiyo hapo Kanye west akamuacha huyu demu na pia hata hakuwahi kumpenda Wiz Khalifa na pale alipenda pesa tu na sio kitu kingine

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad