Tatizo la Ali Kiba Kufanya Interviews Huku Kichwani Akimuwazia Diamond Platnumz..

Kama alivyopata kusema Msanii Ben Paul kuwa Kiba anakuwa overrated halafu inamgharimu sana.

Uwezo na upeo wa msanii yeyote utaupima pia katika mahojiano mbalimbali na media,huwezi kudanganya umma na kuukimbia ukweli.

Nimeangalia interviews kadhaa za Ali Kiba na kugundua kuwa hajiamini badala yake zinakuwa zimejaa,mapozi,tambo,dharau,mashauzi na mambo ya ajabu ajabu.

Nimegundua kuwa tatizo kubwa la Kiba ni kufanya interviews huku kichwani akimuwazia Diamond na mafanikio yake kwa ujumla kwenye mziki na kijamii,pia fans wake ambao ameshindwa kuwapa kile wanachotaka.

Kitendo cha kusema Diamond na Davido walifanya collabo yao back stage,tuzo za Nigeria zinanunuliwa,mimi mkubwa zaidi ya tuzo na vitu kama hivyo vinaonesha uwezo wa Kiba kufikiria ni zero na anaonesha chuki za wazi kwa Diamond.

Fans wa Alikiba mkiongozwa na mademu wa Mond aliowakazaga zamani (Wema na Jokate) acheni kumpeleka puta msanii wenu mpaka mnamchanganya,don't overrate him.

Ali Kiba kama anavyodai kuwa alipumzika mziki kabla ya kurudi tena zile ni fiksi tu,wanaomjua wanamchora maana kapigana sana kwa kutoa nyimbo hapo kati ila hazikuweza kuhit kabisa(Ushahidi upo). Ashukuru kwa hapo alipofikia na akae na wasanii wenzake wafanye muziki mzuri.

Ali Kiba anawaza tu kwamba wasanii wengine hawapaswi kupigiwa kura isipokuwa yeye.Ndio maana tuzo za Bongo za visasi akibebwa anakenua,kimataifa ambako fan base yake hakuna anaishia kulalamika kufanyiwa figisufigisu na kujidai yeye mkubwa zaidi ya tuzo.

Kiba Badilika baba, huu muziki umechange hizi sio zama za Cindellera.

Tizama majigambo haya...
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Jamani jamani hivi kweli mtu unaweza kuonesha wivu kiasi hicho duh! Ali kiba kubali Diamond yuko juu yako Tu.kaza buti ongeza bidii utarudi Tu lakini ukiendelea Na wivu kiasi hichi utazudi kushika.

    ReplyDelete
  2. jamaa ni jinga linaongea kama shoga eti sijui tuzo zipo ngapi stupid(grow up kiba)

    ReplyDelete
  3. Ben Paul ww ni msanii unayeona mbali sana huyu jamaa anajiona anajua kila kitu hv nan asiyejua yakuwa number one remix imefanyika kwa tuddy daaah ndo dai ameshakushnda umebaki story tu saut nzur sio kila kitu kwenye mzki

    ReplyDelete
  4. Yeye asifate akili za wema atampoteza kabisa yeye akae asikilizane na diamond wawe pamoja watowe nyimbo nzuri kila nimuuimbaji mzuri sana ila ana kiburi

    ReplyDelete
  5. Duuuuu yani ni ukweli mtupu jamaaa anamlingo anachuki yaani anonyesha wazi wazi big up mwandishi

    ReplyDelete
  6. Inabidi ajue chuki sio msingi wa maendeleo

    ReplyDelete
  7. huyu kiba mshamba, Tena anatuma nguvu hadi kufata mizigo ya mond ya zamani..grow up bro..hama pale kkoo mtaa wa muheza kama wewe msanii mkubwa

    ReplyDelete
  8. alivyokuwa featured kwenye wimbo na r.kelly alijua haitakaa itokee mtu wa kupata mafanikio kama yale,lkn supprisingly akaibuka msanii chini ya lebo yake.Dangote himself km anavyojiita akakaza na leo ndio the african artist of recent years na world best act wa africa/india.Ali hana discipline na itamgharimu.Waatakuja wasanii na wataondoka lkn honestly Diamond atakuwa icon kwa Tanzania hata akiporomoka kiasi gan,

    ReplyDelete
  9. dar wivu wazi wazi!!!

    ReplyDelete
  10. dah wivu wazi wazi

    ReplyDelete
  11. Well said.

    Ali Kiba fanya collabo na Diamond na wengine uinuke kimziki. Acha chuki.

    ReplyDelete
  12. nyie wote makabwela pamoja na admin wa hii story, Kiba anajiamini na nimuimbaji mkubwa kuliko hilo domo lenu, na Kiba wala hana chuki na huyo jamaa, nyie ndiyo mnafikiria hivyo! waswahili hovyo kabisa nyie, tafuteni kazi nyingine za kufanya cyo kukalia kuaangalia maisha ya watu wengine na kuyafanyia gumzo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. we kiazi, kama hufatilii maisha ya watu wengine kwann unnamtukana msanii domo, acha ulevi wa kiburi na dharau za kijinga

      Delete
    2. we ziro kweli hiyo interview apo juu umeisikiliza au una comment tuu? kiba hakuna kitu wala hakuna anachokiimba ni hao akina joketi na wema wana mkweza na menejiment yake mbovu ina mtumia kiba kupata pesa.
      kiba anafanya mziki wa mashindano sasa anajikuta atulii san sana anakurupuka tuu ili kushindana na diamond
      ukweli ni kwamba mondi ni zaidi ya kiba na kiba mziki wake umeisha ukiacha mondi kuna watu kibao wanajua mziki nna wana imba vizuri mfano hamonize. huyo kiba ni wa mwisho sema tuu wanatumia kigezo cha kufanya ngoma na r kelly kumbeba eti mkongwe walikwepo akina sugu
      kiba mziki ulishamshindaga na watu wamemchukua na kumrudisha kwenye game sasa badala ya kumweka karibu na wasani wanaovuma kwa sasa hao wana mkweza ili hali wakijua kiba uwezo umeisha
      na mashabiki wake wengi ni wale ambao hawamkubali domo kwa chuki zao ila kiba hana mashabiki wa kweli hana kabisa

      Delete
    3. WEWE HUJIELEWI.

      Delete
    4. INGEKUA KUIMBA VIZURI NDIYO KUFANIKIWA SANA BASI WAPO WAKLI AMERICA MASKINI KABISA NA BADO WANAIMBA VIBAYA.

      WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO NA MAGUFULI.DIAMOND.SAMATTA,VEE MONEY NI MFANO WAKUIGWA KATIKA NYANJA ZA KIMATAIFA TUNAJIVUNIA NAO.
      WE CHIZI UNAPOLETA JEURI NA MAJIVUNO YA KISENGEREMA UNA NINI ULICHOVUNA KIMATAIFA, HUNA.
      HII SIO ZAMA ZA SINDERELA KAKA KAZA MSULI HUO.

      MPAKA SASA D AMEFANYA COLLABLE NA A.K.A NA NGOMA INANDOKA JANUARY, STILL COLLABLE NA MAFIKIZOLO IPO NJIANI KUDONDOKA NA NYIMBO YAKE MPYA INA HIT MITAANI.

      Delete
  13. :P
    INGEKUA KUIMBA VIZURI NDIYO KUFANIKIWA SANA BASI WAPO WAKLI AMERICA MASKINI KABISA NA BADO WANAIMBA VIBAYA.

    WATANZANIA WANATAKA MABADILIKO NA MAGUFULI.DIAMOND.SAMATTA,VEE MONEY NI MFANO WAKUIGWA KATIKA NYANJA ZA KIMATAIFA TUNAJIVUNIA NAO.
    WE CHIZI UNAPOLETA JEURI NA MAJIVUNO YA KISENGEREMA UNA NINI ULICHOVUNA KIMATAIFA, HUNA.
    HII SIO ZAMA ZA SINDERELA KAKA KAZA MSULI HUO.

    MPAKA SASA D AMEFANYA COLLABLE NA A.K.A NA NGOMA INANDOKA JANUARY, STILL COLLABLE NA MAFIKIZOLO IPO NJIANI KUDONDOKA NA NYIMBO YAKE MPYA INA HIT MITAANI.
    8-)

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad