Tazama Picha za Wema Sepetu Akiwa na Baba Kijacho Wake Leo Siku ya Kuzaliwa Kwa Idriss Sultan

 Leo ni Siku ya Kuzaliwa kwa Mchumba mpya wa Wema Sepetu Idriss Sultan Mshindi wa Big Brother Mwaka juzi...Pichani Wema Sepetu Akimpongeza kwa kwa kuonyesha mahaba mazito

Post a Comment

14 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. soo nice. ukishikwa shikamana Wema.

    ReplyDelete
  2. Mola awajaalie kila la kheri W+ID

    ReplyDelete
  3. Mapenzi ya kuigiza haya....hapo hamna cha mimba wala nn

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mimba iko makalioni.hahaha.Mwezi wa nane wa tisa si mbali.

      Delete
  4. Yule Luis wameachana au yupo likizo maana hadi dini alibadili au ilikua movie

    ReplyDelete
    Replies
    1. huchoki??? waache bwana, fanya yako.

      Delete
  5. Penda wewe saafi

    ReplyDelete
  6. nenda kamuchukue wew huyo luis alisha muacha! hahahaaa hahahaa
    wivu unakusumbua sana ndugu

    ReplyDelete
  7. Usinywe pombe bibie wala kuvuta sigara

    ReplyDelete
  8. Enter your comment...nampenda sana wema ila siamin kama kweli anamimba,ikiwa kweli nitafurahi sana

    ReplyDelete
  9. mhhhhh nimeshakuwa na mimba mara nyingi lakini hii mimba gani jamani inakua tofauti kila siku? halafu kweli mimba miezi miwili mitatu kama ya kujifungua? hapo iko namna. Mie sio shabiki nakiuliza maswali tu!

    ReplyDelete
  10. Idriss mahela ya big bro yakiisha nawe kwendraaaa,huyo ndiye wema mama!

    ReplyDelete
  11. Mtu anabugishiwa mimba ili madollari yatumike.......Nahis ni matambara hayo tu kuna mdada ndo kaingia nae mkataba wa kumzalia mtoto........toka lini tasa akazaaaaaa

    ReplyDelete
  12. hakuna mwanamke tasa duniani, mie ninavyojua kila mwanamke anazaa hila kwa wakati wake mungu anavyotaka , na watu walizidikumsakama wema tasa, sasa aibu kwenu, wema ndio kwanza anamiaka 28 bado mdogo kiumri, kuna mwanamke amezaa akiwa na miaka 63 juzi tuu , na alikuwa apati mtoto kwa miaka 43 alikuwa anatafuta, shame on u, mkaungame kanisani my dear

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad