Uchaguzi wa Meya Ilala: CCM wapata kura 0, UKAWA 31

Baada ya mvutano mkali unaoendelea wabunge wa CCM wa ilala wametoka nje kususia uchaguzi.

Matokeo ya Umeya Ilala,

1. Charless Kuyeko (UKAWA) kura 31,
2. Heri Kessy (CCM) kura 0.

Chanzo ITV

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wanafikiri kino ni mburulaz?ccm lazima waisome

    ReplyDelete
  2. na bado
    wamezoea kura za wizi CCM

    ReplyDelete
  3. Hapo fisiemu wameshindwa kuiba kura?

    ReplyDelete
  4. Kura ziro 0 inamaana hata huyo ccm hakupiga au sijaelewa vizuri ....mmmmmh

    ReplyDelete
  5. tehetehetehe ni wakati wa mabadiliko

    ReplyDelete
  6. TUJIKUMBUSHE KWANZA KILICHOTOKEA MWEZI ULIOPITA KATIKA CHAGUZI YA MEYA NA MAKAMU WAKE MANISPAA YA JIJI LA ARUSHA.JIJI HILI LINA KATA 34.UKAWA INA MADIWANI 33 NA CCM INA DIWANI MMOJA.ULIPOFIKA UCHAGUZI DIWANI HUYU MMOJA WA CCM ALICHUKUA FOMU KUGOMBEA UMEYA!NA,ALIGOMBEA! MATOKEO MGOMBEA WA UKAWA ALISHINDA KWA KURA 33 NA YULE WA CCM KUPATA KURA MOJA YAANI YA KWAKE!.NILITAKA TUANZIE HAPO ILI UKIIJENGA TASWIRA ILE USISHANGAE NA KUONA AJABU KWA HAYA MATOKEO YA HIZI MANISPAA MBILI MUHIMU NA ZINAZOONGOZA KWA UCHUMI MKUBWA NCHINI TANZANIA.NI WAZI MADIWANI WA UKAWA WALIKUA NI WENGI MNO,WALISTAHILI USHINDI MKUBWA KAMA ILIVYOTOKEA,ISINGEPENYA NJAMA HAPA KWANI UKAWA NI UMOJA NA DAIMA UMOJA NI USHINDI,UMOJA NI NGUVU.HONGERENI SANA UKAWA,NA,SASA TUNATEGEMEA KUYAONA MABADIRIKO MAKUBWA KAMA KIASHIRIA NA DIRA YA NCHI KWA MIAKA HII MITANO KUELEKEA 2020.

    ReplyDelete
  7. ccm wamezoea wizi wa kura kumamayozao
    na bado

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad