Ujauzito wa Wema Sepetu Waanza Kuonekana..Team Wema Sepetu Wafurahia

Ujauzito wa Staa na Mrembo wa Bongo Asiyeishiwa na Skendo hatimae waanza kuonekana wazi wazi kitu ambacho kimewafurahisha Team Wema Sepetu baada ya boss huyo wao kushutumiwa kuwa ni mgumba kwa muda mrefu...

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hakuwa mgumba hakutaka kuzaa Na kijeba bin andunje wa kulee tandale sokoni kwa kina fulani

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hahahaaaaaa mdau umeuaaaaa!!

      Delete
  2. Wamin shari hasidin...... Yakupite mbalu macho Yao mahasidi mama cheka Na ufurahi lkn usivae viatu vitefu please

    ReplyDelete
  3. Wema nakutakia heri na baraka tele,nakusihi usiachane na idrissa kwn huyo ndiye mume ulliyepewa na mungu.Idrissa acha kusikiliza maneno ya watu mana yatawavuruga

    ReplyDelete
  4. Enter your comment...hongera sanaa umefanya kweli Mungu kakujalia

    ReplyDelete
  5. .hongera sanaa umefanya kweli Mungu kakujalia

    ReplyDelete
  6. nakupenda sana wema nimefurahi mpaka nimelia

    ReplyDelete
  7. Wema Huna mpya utapeli tu unakuhangaisha umesikia kijana kashinda million 500 zimemtoa roho anajifanya maromantic hana lolote

    ReplyDelete
  8. Eti mpaka umelia...pumbavu zako.Hapo hamna mimba wala nn ni kiki tu inatafutwa hapo.

    ReplyDelete
  9. wema naendelea kukuombea kwa mungu nakupenda sana .Eee Mwenyenzi Mungu endelea kumpigania huyu dada

    ReplyDelete
  10. Aminah inshallah omba sana mungu akutunzie kijacho chako maana midomo mingi sana kila la kheri

    ReplyDelete
  11. Aminah inshallah omba sana mungu akutunzie kijacho chako maana midomo mingi sana kila la kheri

    ReplyDelete
  12. Inshall mamy kila la kheri ilazidi kuomba mungu maana midomo ya umba mamy

    ReplyDelete
  13. Kila goti hulipwa na mungu mungu kakupa ombi lako KULWA makini fata masharti ya ujauzito usinywe pombe usivae nguo za kubana na kazalika but I love you more my cute girl

    ReplyDelete
  14. MImi sina timu ila dadaa kuzaa nako kuna raha yake so hongera sana wanaosema umefata hela za idrisa achana nao hata akikuacha utalea mwanao hamuwezi kutengana hongera dada afadhali kuliko ungezaa na hicho kijeba kimeshakomazwa na bi kizeeee. DU mtoto mdogo unaoga maji yalokuzidi kina nawe umeliwaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad