UVCCM yataka Rais mstaafu wa Zanzibar Dr Aman Abeid Karume Afukuzwe CCM

UMOJA wa vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM), umekitaka chama hicho kumvua uanachama Rais mstaafu wa Zanzibar Dk  Aman Abeid Karume.

Kauli hiyo ilitolewa jana katika viwanja vya Maisara mjini Zanzibar na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa, Sadifa Juma Khamis wakati wa kilele cha matembezi ya vijana wa umoja huo kuadhimisha miaka 52 ya Mapinduzi.

Alimshushia tuhuma nzito mstaafu huyo kuwa anashirikiana na wapinzani kukihujumu chama hicho kikongwe nchini, na kwamba asipofukuzwa umoja huo utatumia njia zingine ambazo hakuziweka wazi.

Sadifa alionya kwamba Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar si mali wala miliki ya mtu kwani Wazanzibar wote wana haki ya kushiriki kuyaenzi kwa vitendo kutokana na historia yake.
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Sasa kosa lake lipo wapi tuweke wazi!!maana na nyinyi mmesema nzn ni ya weusi na siyo machotara!! nzn kuna tatizo si bure!! maana hata rais kabla ya karume ambae ni salmin naye tulisikia mambo kama haya!! kunani nzn!!???

    ReplyDelete
  2. Hy sadifa msenge sn toka aoe mke wapili basi anajiona yeye ni mwanaume saana, anataka hata kupitiliza sheria basi wacha tuone mwisho wake

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad