Video ya ‘Mbabe wa Unga El Chapo’ Alivyonaswa Huko Mexico na Polisi Miezi 6 Baada ya Kutoboa Gereza..

Jamaa aliteka sana vichwa vya habari kubwa duniani, jina lake halisi ni Joaquin Guzman a.k.a ‘El Chapo‘ ni jamaa ambaye ana kesi za kujihusisha na dawa za kulevya, kajikuta mikononi mwa Polisi miezi sita baada ya kutoroka gerezani alikokuwa amefungwa.

El Chapo ambaye anatajwa kuwa na mtandao mkubwa wa kusafirisha dawa za kulevya na kuziingiza Marekani, amekamatwa akiwa nyumbani kwake Los Mochis, mji wa Sinaloa uliopo Mexico.

Video:

Udaku Special Blog

Post a Comment

0 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad