Video ya Mtoto wa Faiza Yamgusa Mange Kimambi..Amkosoa Faiza na Kumpa Ushauri Huu

Mange Ameibuka na kutoa neno baada ya Video ya mtoto wa Faiza Ali akiomba Hela kwa Mh Mbunge Sugu kuzagaa mitandaoni...

Amesema haya kupitia ukurasa wake wa Instagram:

"Nilikuwa nachukua break to focus on my weight loss thingy Ila this video had me in tears....... Kwa Sababu tofauti , one this baby has no business being on Instagram crying for money. Atakuja kuwa mkubwa then Watu watamwonyesha hizi video..... Ukiwa Na issue Na mwanaume unaweza kumdhalilisha Kwa njia nyingi mnoooooo bila kumwanika mtoto hivi. Ila somehow naelewa wanaume wanauzi sana unaweza jikuta unafanya hivi Kwa hasira ila kuna njia nyingi mama unaweza kumkomesha mwanaume asiekusaidia malezi especially Kama ni Mbunge.
Hata yeye tu angeweza kujirekodi akilia hivi kuwa hapewi matumizi na message ingefika vile vile........ .
Kama kuna kitu kimoja nilichojifunza kuzaa na mwanaume ambae siko nae ni kwamba usiongee lolote baya kuhusu baba wa mtoto mbele ya mtoto. It affects them. Acha mtoto ampende baba yake hata kama ni baba mbaya hata kama hakusaidii ila Jitahidi mtoto asijue haimsaidii kitu zaidi ya kumuumiza akiona wenzie wana baba zao yeye baba yake hataki kutuma hela.....
Kama vipi @faizaally_  Ongea openly sugu anakusaidia Au vipi how much etc then tutakusaidia kufikisha ujumbe mjengoni, na hata msaada wa kisheria Ili mtoto apate haki yake.
.
.
Ila pia tusimjudge sana Faiza hizi ni stress mtu unajikuta unafanya vitu Kama hivi.  Especially ukiona mwanaume anauwezo ila hakusaidii. Cha Maana Faiza angeweka Wazi kabisa ni msaada gani anaoupata Kwa Sugu ili watu tumsaidie kupiga kelele. Maana hapa hatuelewi Je ni kwamba hatumi pesa kabisa au labda alituma Kidogo hazikutosha na kusuka nywele..... Ukiamua kuweka mambo wazi weka yote Wazi Ili watu waelewe na wakupe support....." Mange Kimambi

Post a Comment

10 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Bora mumeleze wanawake wenzake

    ReplyDelete
  2. who the hell is mange any way?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Mange ni yule bishoo aliekuwa anajiita "muke ya muzungu". Ila kaachwa. Akajaribu siasa akapigwa chini. Anajiita activist kwaliteit sasa. Shughuli yake kubwa ni ma beef na watu mbalimbali. Kwa sasa hana mpya zaidi ya kuuza ugly vipochi na vinguonguo. Ana watoto 3 Kwa wanaume 2. Anachefuaaaa ptuuu

      Delete
  3. Mimba wema ipo mange au story
    Nasikia ummeachika shoga ndo maana umeufyata mtaandaoni

    ReplyDelete
  4. Wameachika mama zenu waliookua wanajiuza mkapatikana nyie itakuwa mange mfyuuuuu hebu muacheni huyu dada na maisha yake...pumbavuuu

    ReplyDelete
  5. Wewe wewe anonymous wa January 27 10:07 inaonekana unachukii Na mange!! Nani kakwambia kaachwa Kama sio maneno ya bar!!! Gettaouta hea mshamba!! Do ur research before opening ur dirty mouth magazeti Na saluni za udaku zinawasumbua!!

    ReplyDelete
  6. Anonymous 10:07am nahisi we ni one of wauza sembe au girlfriend/wife wauza sembe Maana iyo comment imebeba hasira zote😂😂😂😂😂 kalale bwana admit kasema point

    ReplyDelete
  7. Ishu Ni mange au mtt wa faiza

    ReplyDelete
  8. mange anatafuta pakutokea kupitia faiza
    anajifanya kumshauri faiza wakati na yeye ni mshenzi tuu tena bora faiza mange ni kichefuchefu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad