Wahariri wa Gazeti la Mawio wakijisalimisha makao makuu ya Polisi jijini Dar es Salaam leo mara baada ya Jeshi la Polisi kutangaza kuwatafuta popote pale kwaajili ya kutoa maelezo kwa kuandika habari ya upotoshaji kwa jamii, wakiwa na Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Abalom Kibanda katika makao Makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam.
Wahariri wa gazeti la Mawio wakizungumza leo walipokuwa wanajisalimisha makao makuu ya Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam leo.
Mwenyekiti wa Jukwaa la wahariri, Abalom Kibanda akizungumza na waandishi wa habari katika makao makuu ya Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na kufungiwa na Serikali gazeti la Mawio jana.
Wale walosema machotara Zanzibar si wachochezi ccm fyuuuuuuu
ReplyDeleteWale wanaosema sasa ndio mwisho wa utawla wa mkoloni mweusi zanzibar sio wabaguzi. Acheni unafiki
ReplyDeleteWale wanaosema sasa ndio mwisho wa utawla wa mkoloni mweusi zanzibar sio wachochezi. Acheni unafiki
ReplyDeleteWale wanaosema sasa ndio mwisho wa utawla wa mkoloni mweusi zanzibar sio wabaguzi. Acheni unafiki
ReplyDelete