WASTARA Atoa Neno Baada ya Harusi yake na Kudai Mke Mkubwa Aliyemkuta Kwa Mme Wake Kampokea Kwa Mikono Miwili


Wastara kapost picha kwenye account ya Instagram na kuandika haya :

Nilikuwa kwenye usingizi mzito nimeshtuka nikakumbuka ni vizuri kuwapa asante wale wote walipiga goti kuniombea siku moja nipate faraja au tulizo la moyo ama stara kwa mwanamke wa kiislam kama dini inavyosema.. Japo kwangu nilikuwa nimeweka nadhiri ya miaka 3 ikipita basi ridhki ya mume ikija milango iko wazi alhamdulilah imekuja wakati muafaka na siku muafaka baada nadhiri yangu kutimia. Mungu ni mwema sana namuamini sana na ananipenda sana ndio maana kaniumba anavyojua yeye tumshukuru mungu kwa hili, najiombea na wale wenye nia njema na mim tuwe pamoja, iwe yenye neema ndoa hii aliyoipanga mungu pekee yeye ndie mwenye mamlaka juu ya hili barka, rehma, stara, uvumilivu ridhiki, upendo uwe juu yetu na bi mkubwa niliyemkuta aliyenipokea kwa mikono miwili kma mke mwenziwe msiumize vichwa tunajuana tunaheshimiana.’- @wastara84

Udaku Special Blog
Tags

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mwenyezi mungu mkubwa akuweke kwenye ndoa yako.usisikilize ya watu

    ReplyDelete
  2. Sawa mke mkubwa na Je mke wa 2 na 3 wameridhia maana wewe ni wa 4!!! Sisi wanawake ni wapofu tunapenda kujiingiza katika kaa la moto bila hata kushtuka.

    ReplyDelete
  3. Umeona eeee kweli ni yale yale stress za kina mama zinawafanya wafanye maamuzi yasio na busara,,,,Mke mkubwa hata akikupokea vizuri ni mdomoni tu hujui rohon mwake so usiusemee Moyo.

    ReplyDelete
  4. Huyo aliyefungua domo nyuma kulikoni
    Ndoa inatia shaka

    ReplyDelete
  5. time will tell. muda utasema!!

    ReplyDelete
  6. Jamani wanawake mnapenda kulalama, kuliko uwe mchepuko bora aoe kabisa. Kama yakiharibika ni mbele ila kwa mungu yana baraka

    ReplyDelete
  7. Mara mia kaolewa kuliko wale wa mpango wa kando!

    ReplyDelete
  8. sawa kumbuka kuwa ikifika zamu ya kwenda kumkaza bi mkubwa usijifanye mmejisahau, haki sawa kwa wake wote umejitakia mwenyewe mume wa kushea.

    ReplyDelete
  9. Mungu akupe furaha wastara,ni bora wewe uliolewa kuliko hao wanaowazwa kuchepukwa.

    ReplyDelete
  10. Bora ya yeye kuliko akina fulani wtt kibao ndoa ziro mashallah pendeza sn kz buti m.mke ndoa yasemwayo tupa kuleee

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad