Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amefunga ndoa hivi karibuni na Mwenyekiti wa UVCCM na mbunge wa Donge, Sadifa Juma,ameolewa mke wa pili.
‘Ndoa haina ghafla unaweza ukapanga usiku asubuhi ukaolewa,sema tu wageni waalikwa hawakuwa wa kutosha,uzuri kwamba mke mwenzangu alikuwa ananijua kabla sijaolewa,sikutaka kuolewa na mwanaume kabla mkewe hajanijua na sijaolewa mke wa nne ninayemjua ni mmoja tu, na tunapendana na mke mwenzangu,lakini hatuishi nyumba moja,’
‘’Sajuki hakusema nisiolewe alichosema ni kuwa anaogopa nikiolewa nitateseka,nilipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu (CCM)nilikuwa sitizami watu nadhani yeye aliniona kitambo na sio kwenye kampeni ananijua kwa mujibu wa maelezo yake ananifahamu vizuri,nilimpa masharti yangu nikamkaribisha nyumbani tukafunga ndoa,’’Alisema Wastara.
Mkeo watu Tulia bibi kila kukicha mitandaoni
ReplyDeleteUmelalamika ya bomoabomoa
Inatosha umeolewa sasa
huyu nae kazidi kila siku anakuja na story mpya
Deletekha atulie sasa na uko ukawi kusikia talaka tulia mama fanya maisha acha mbwebwe mpaka unaboa sasa
Sssa ime imezidi tulia Na mumeo achana Na media zinaponzaga wengi
ReplyDeleteNa huyo bondi achana nae atakua bondo km haukua makini m.mke ndoa Na stars tulia
ReplyDeletekama uikuwa na watoto na sajuki ya nin kuolewa tena
ReplyDeletetulia lea watoto wako
umeanza tena kumtaja marehemu sasa.. huyu mdada akiacha hili atarukia lile sijui chizi. au huyo mume mpya akukuni vizuri? bado kinawasha?
ReplyDeleteHamna cha kuandika
ReplyDeleteKila Leo
Wastara
Wema
Zari
Domo
Kweli udaku huuu