Wastara: Sajuki Hakusema Nisiolewe,Ila Aliogopa Nitateseka..

Staa wa Bongo Movies, Wastara Juma amefunga ndoa hivi karibuni na Mwenyekiti wa UVCCM na mbunge wa Donge, Sadifa Juma,ameolewa mke wa pili.

‘Ndoa haina ghafla unaweza ukapanga usiku asubuhi ukaolewa,sema tu wageni waalikwa hawakuwa wa kutosha,uzuri kwamba mke mwenzangu alikuwa ananijua kabla sijaolewa,sikutaka kuolewa na mwanaume kabla mkewe hajanijua na sijaolewa mke wa nne ninayemjua ni mmoja tu, na tunapendana na mke mwenzangu,lakini hatuishi nyumba moja,’

‘’Sajuki hakusema nisiolewe alichosema ni kuwa anaogopa nikiolewa nitateseka,nilipokuwa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu (CCM)nilikuwa sitizami watu nadhani yeye aliniona kitambo na sio kwenye kampeni ananijua kwa mujibu wa maelezo yake ananifahamu vizuri,nilimpa masharti yangu nikamkaribisha nyumbani tukafunga ndoa,’’Alisema Wastara.

Tags

Post a Comment

7 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Mkeo watu Tulia bibi kila kukicha mitandaoni
    Umelalamika ya bomoabomoa
    Inatosha umeolewa sasa

    ReplyDelete
    Replies
    1. huyu nae kazidi kila siku anakuja na story mpya
      kha atulie sasa na uko ukawi kusikia talaka tulia mama fanya maisha acha mbwebwe mpaka unaboa sasa

      Delete
  2. Sssa ime imezidi tulia Na mumeo achana Na media zinaponzaga wengi

    ReplyDelete
  3. Na huyo bondi achana nae atakua bondo km haukua makini m.mke ndoa Na stars tulia

    ReplyDelete
  4. kama uikuwa na watoto na sajuki ya nin kuolewa tena
    tulia lea watoto wako

    ReplyDelete
  5. umeanza tena kumtaja marehemu sasa.. huyu mdada akiacha hili atarukia lile sijui chizi. au huyo mume mpya akukuni vizuri? bado kinawasha?

    ReplyDelete
  6. Hamna cha kuandika
    Kila Leo
    Wastara
    Wema
    Zari
    Domo
    Kweli udaku huuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad