Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Waziri Mkuu, Mstaafu Frederick Sumaye ambaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa matibabu Januari 12, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kushoto) wakizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye amnaye amelazwa katika hospitali ya taifa ya Muhimbili kwa Matibabu Januari 12, 2016. Kushoto ni Mke wa Waziri Mkuu Mstaafu Mama Esther Sumaye.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole Balozi Hassan
Kibelloh ambaye naye amelazwa katika hospitali ya taifa y Muhimbili kwa Matibabu Januari 12, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jamani hawa watu Kha!! Kwa kweli Muhimbili Kazi wanayo safari hii dah!!!
ReplyDelete