Wema Sepetu Aelezea Kwa Kina Beef yake na Zari, ‘Sio Nasib Wala sio Mwanamke Wake, Wote Waniache’ (Audio)

Wema Sepetu amefunguka kwa mapana kuhusiana na ugomvi wake na Zari the Bosslady ulioshuhudia warembo hao wakibadilishana michambo kwenye Instagram.


Miss Tanzania huyo wa zamani alikuwa akihojiwa kwenye Ijumaa hii kwenye kipindi cha Ala za Roho cha Clouds FM. Alikuwa ameongozana na mpenzi wake, Idris Sultan.

Mimi nilivyoamua kuwa out of Diamond’s life niliamua hivyo and I am out of Diamond’s life. I don’t know why watu wanajaribisha sana kunibring back to his life wakati I have already like moved on,” alisema Wema.

“I accepted my break up with Diamond from the beginning and I never wanted anything to do with him, nilivyoamua kwamba this is is going to be it nikaamua. Mimi na Diamond tumeachana 2014 and I was the one who actually decided that it’s going to be over. Lakini wakati Diamond ameshamove on ameshakutana na girlfriend wake, mama wa mtoto wake mimi sikuwahi kujihusisha katika mambo yao. Lakini I think the girl (Zari) anakuwa kama ana kitu na mimi. I have been quite for a very long time, first year nimekaa kimya, second year nimekaa kimya, it’s like kama vile anataka kunichokonoa,” alifafanua.

Wema alisema kuwa kuna wakati Zari alikuwa anatembelea ukurasa wake wa Instagram na kulike baadhi ya post zake lakini aliamua kumblock ili kuepusha shari.

“Nilivyomblock nikaona sasa anaendelea,ataongea atamtag Esma sasa nikitagiwa mimi nakuta kwenye ‘photos of you.’ Anasema ndipo alipogundua kuwa Zari amemwandikia maneno makali yaliyomuumiza kiasi cha kuamua kuuvunja ukimya wake.

“So I said what I have to say, kwasababu najua at that point nimwambie tu kitu ambacho kitamkera, sijui kuhusu mtoto wao that’s their life na sitaki kujihusisha. So nikafanya hivyo ili naye kumkera kwasababu lengo si ni kukerana.”

Wema anasema baada ya kumjibu hivyo Zari, mpenzi wake Idris alimgombeza sana kwakuwa hakufurahia. Hata hivyo amesema watu wake wa karibu walimjaza kuwa amekuwa akimvumilia Zari kwa miaka mingi sasa na kwamba ifike wakati naye ajibu mashambulizi.

“So I was like ‘okay let me do it’ so I did lakini sio kwamba nimetaka kufanya ni kitu ambacho this is not me.” Muigizaji huyo alisema ndio maana aliamua kuandika post kwake kuwa amefunzwa kutogombana na ‘watu wazima.’

Kwa upande wake Idris alisema hakupenda kitendo hicho na hapendi kuona kikitokea tena.

"Mimi sipendi, mimi na Diamond hatuna tatizo, he has been a brother to me for a long time. Naamini kwamba yeye na Wema haya mambo ni ya nyuma na yalishatokea na hakuna tatizo. Sio kwamba wewe ukishaondoka ndio umefunga basi marafiki zako wote, Diamond anajuana na watu wangapi? Kama watu wote anaojuana nao ikitokea mmoja amependana na ex wake basi nilishatoka na kaka yangu basi ndio imetoka,” alisema Idris.

Wema alimalizia kwa kuwataka Diamond na Zari waachane na maisha yake. Mrembo huyo na mpenzi wake Idris wanatarajia kupata mtoto katikati ya mwaka huu.

Sikiliza sauti yake hapo chini.

Source;Bongo5

Post a Comment

24 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umesema ukweli Wema. wakuache na maisha yako. bi kizee hajiamini kabisaa.

    ReplyDelete
    Replies
    1. mbona na yeye hanyamazi? bado anatafuta kiki za nini? kila mtu ana maisha yake ya nini kuendeleza ligi ambazo hazina maana kwenye jamii? tujifunnze kuheshimiana na kuthaminiana hao wapambe hawatawafikisha popote zaidi ya kutunushian misuri

      Delete
    2. Huyo wema anaejitangaza " I was taught well " hana lolote. Siku ile alivyoenda kulianzisha pale global publishers alisahau kuwa she was taught well ? Anavyotukana watu kama kajala, anavyopora wanaume wa watu? Mama ake ana julikana mjini kwa matusi na ufirauni. Kama zari mkubwa kwa ndomo hata yeye mkubwa kwa idrissa. Pumbaff mkorogo utakuua na mistari kaa zebra. Mfyuuu

      Delete
  2. anawatoto wa 4 na watano Dai bado hajiamini kwa Wema. uchizi huu

    ReplyDelete
    Replies
    1. wewe unao wangapi?????????? acha upumbavu ukiwa na watoto wengi nayo ni deal

      Delete
    2. Yeye hana ana mbwa kaa wema. Zaidi ya hapo analea wanaume kaa wema. Malaya wachafu kaa mama zo.

      Delete
  3. BANDUGU HAPA KAZI IPO,TUSUBIRI TU.

    ReplyDelete
  4. watakavyo weweseka na majibu yao ya lever lever. au nyumba sasa.

    ReplyDelete
  5. mimi nawatano na baba yako ndo alinizalisha then akanikimbia so mpumbavu ni wewe Anony 2.57. PM na ukoo wako.

    ReplyDelete
  6. jini kash kash. anaweweseka kashindwa kujizuia. love you mingiiiiiiiiii Wema.

    ReplyDelete
  7. Yan dai na idriss wote wamechukua wanawake wakubwa kiumr zaid yao,lakini dai anaakili coz mwanamke wake anajua kuutumia umaaru wake kibiashara af anaakili ya kimaisha cyo wema analiwa na mabedeshee

    ReplyDelete
    Replies
    1. lukelo mwalongo na wewe mbona huna akili jina lako halipo popote,wewe na wema nani maarufu mwalongo wewe shoga tandale.pole mdada lukelo, umbea utakuua

      Delete
    2. nawewe tuonyesha basha wako ambaye hajakuzidi umri!mapenzi hayana umri waache na yao.. we endelea kulala sebuleni.

      Delete
    3. wema hajui kutumia umaarufu wake
      ndio tatizo la mademu wa singida
      kazi unayo idriss pole apo umepotea njia

      Delete
    4. Lukelo hana njaa ya maisha kaa wema. Akiwa na mwanaume lazima ajishaue mitandaoni ili kuwatega wanaofata. K*u*a yake isha noki long time. Kama huamini muulize Ommy boy. Na kale ka Louis kalikokimbia mitulinga. Wema k*u*anyo*o.

      Delete
  8. zari anashangaza sana ujana kaumalizia uganda, uzee anauleta tanzania. zari usiwe mkorofi watanzania ni wapole sana, peleka ukatili wako kwenu uganda. mkundu wako unatoa funza.

    ReplyDelete
  9. we zari na hayo makengeza yako nakuchukia wewe kwani nchini kwako hakuna wanaume au wanaujua umalaya wako.?

    ReplyDelete
    Replies
    1. yani wew ziro kweli unamchukia mtu ambaye hakujui wala hana habari na wew amekuzidi kila kitu hahahaha hata uzuri, pesa yani kila kitu kazi unayo mdada wa saloon na wew nenda uganda ukachomekwe nao
      sio bure unahitaji maombi wewe nenda kamwone ngwajima

      Delete
  10. Sasa wewe wema una mwita mwenzio mtu mzima mbona wewe ukiwekwa nae waonekana mzee zaidi? Halafu unavyojielezea inaonyesha kabisa wewe ndiyo mgonvi na una wivu na zari.Mwanamke unajiona utasema msafi sana wakuache mbona hata hawana mda nawe unashoboka wewe gawa k yako hiyo.

    ReplyDelete
  11. Sasa wewe wema una mwita mwenzio mtu mzima mbona wewe ukiwekwa nae waonekana mzee zaidi? Halafu unavyojielezea inaonyesha kabisa wewe ndiyo mgonvi na una wivu na zari.Mwanamke unajiona utasema msafi sana wakuache mbona hata hawana mda nawe unashoboka wewe gawa k yako hiyo.

    ReplyDelete
    Replies
    1. macho kumchuzi domo upande mawigi kwa sana kufunika mvi.

      Delete
  12. wema tanzania nzima waseme ila mi nakwambia huna uzuri wa kumshinda kila mtu ila una nyota mama ya kupendwa yani kila mtu anatamani akuone lov u so much dada u great msikilize mumeo wht he like ok muislam mwenzio usimjibu mtu waacha wasemeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

    ReplyDelete
  13. zari boya tu nasikia juzi kaulizwa kuusu ndoa na mond huko south kasema yeye hataki kuolewa,hili zee lililotubambikia mtoto ni hatarious.

    ReplyDelete
  14. Mungu ndio muweza wa yote kama Kati yen nyinyi nyote hakuna mtenda dhambi basi muhukumuni mwenzenu wema, ,,,ila adi sasa mshaumbuka wema karibu win ,,,atazaa huu ndio wakati wake uliopangwa na mungu, ,,,,

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad