Wema Sepetu Amshukia Kajala Masaja..Adai ni Mtu Mzima For Nothing na Hana Akili..Awaponda Washauri wake Pia

Wema Sepetu Akizungumza katika kipindi cha Take one cha Clouds TV Amesema Anamchukulia Kajala kama mtu Ambae Hawajawahi kuonana na wala hamfahamu

Wema Amedai Kajala ndio aliyemkosea na mpaka wakagombana na urafiki kufa lakini Kajala Japo ni mtu mzima kuliko yeye hajawahi hata siku moja kumtafuta na kumkalisha chini na kumuomba msamhaa kwa aliyomfanyi, pia amewatupia lawama washauri wake na kudai wanamshauri vibaya


'Mimi sina kinyongo na mtu, unajua mtu ambaye ana kinyongo na mtu ni mtu ambaye hawezi kukaa bila kumuongelea mtu fulani. Mimi sijawahi kukaa na kumuongelea Kajala na nimemchukulia kama ni mtu ambaye ameshapita kama upepo. Hajui kutumia utu uzima wake ni mtu mzima for nothing, ni mtu mzima fulani lakini hana akili. Sio tu hana akili pia naona pia washauri wake ni wabaya,” alisisitiza Wema.

Ikumbukwe Kiini cha Ugomvi wao ni Baada ya Kajala Kusemekana Ametoka na Bwana wa Wema Sepetu wa Kipindi hicho CK....
 

Post a Comment

5 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Lea mimba kama Kweli unayousijezaaa mtoto taahira

    ReplyDelete
  2. yani apo kajala ameva rozari kipindi yuko jela inaelekea alikuwa anasali sana na Mungu kamsaidia akatoka
    tuna mkumbuka Mungu kwenye shida sio
    anyway hainihusu

    ReplyDelete
  3. Kama huna kinyongo nae kama unavyodai kwanini huishi kumzungumzia kwenye media??? CK kawalaleni na kasepa zake. Get used to it. Unatuchoshaaa. Huishi kugombania wanaume ambao hawajawahi kukuoa.mfyuuu

    ReplyDelete
  4. huyo kajala ulimsaidia wa nin? bora angebaki lubango na mumewe, ulivyomtoa umeharibu kila kitu ajiheshimu wala hamuheshimu mumewe aliyemuacha selo..ni umalaya kwa kwenda mbele.. kweli hana akili kabisa uko sahihi na ameanza kumufundisha mwanae kugegedwwa akili mkunduni kajala

    ReplyDelete
    Replies
    1. We usilolijua ni giza machoni, mil 13 lilitoa buzi la Kajala ila kwasababu ni mme wa mtu na wema anapenda kik ndio akapewa hela na kujitangaza ni zake.

      Delete

Top Post Ad

Below Post Ad