Wema Sepetu Awafunda Wabunifu Chipukizi

MISS Tanzania 2006, ambaye pia ni mwigizaji wa filamu za bongo, Wema Sepetu, amewataka wabunifu chipukizi wa mavazi na mitindo nchini walitumie vizuri jukwaa la mitindo la Lady In Red Fashion Show 2016, ili wafikie malengo waliyojiwekea.

Wema alitoa rai hiyo alipokuwa akizungumza nao kuhusiana na onyesho litakalofanyika Januari 31, katika ukumbi wa Danken House, uliopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam.

“Kwa sasa mnatakiwa muwe wabunifu zaidi mje na vitu vya kipekee ili kazi hizo ziwe chachu na kivutio kwa wateja wenu, pia iwaongezee mashabiki wa mavazi na ajira yenu, iwe ya uhakika na soko,’’ alieleza Wema.

Naye Mkurugenzi wa Fabak Fashions na muandaaji wa jukwaa hilo, Asia Idarous, alisema jukwaa hilo ni shule na daraja la wabunifu wa mavazi na mitindo, hivyo litaendelea kuenziwa ili lizidi kuzalisha wabunifu wengi zaidi.

Mtanzania
Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. oops
    awafunde
    kuiba waume za watu
    wizi wa umeme, maji
    scandali
    mwanagu ukiwa shabiki wa wema huna radhi na mimi

    wema ana laaana ya dunia hadi akhera

    ReplyDelete
  2. amfunde samia msago mwenzie
    na yule msago aliyeolewa juzi namsenge wa ccm
    kwa kauli na ushauri wa samia

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad