Wema Sepetu: Sina Mpango wa Kuzaa

Katika page yake ya instagram, staa mrembo Wema Sepetu aka Madame amewataka wote wanaompigia kelele kuhusu kuzaa mtoto wamkome, kwani hana mpango huo kwa sasa. Hiki ndicho alicho kiposti

“Okay… Lets get things straight here…. See dat doggie up there… Y’all see her….? Dat is my bebi…. since i dont have a bebi… Huyo ndo mtoto wng… Basi sasa nitapopost afu nisikie kuzaa nakublock fasta… Mshaniona sizai basi ndo mjue sizai… Akha…!! Zaa zaa… If u have a child im happy for u… Nd wish u da best… I dont… Ndo mungu alivyonipangia… So please hey…. Watakaozaa all da best… Walio na mipango ya kuzaa hongereni… Mimi sina … Im done… Vanilla ndo bebi wangu kipenzi na nampenda kuliko…. Na wale wa subhannah llah pia nisiwaone… This is getting too personal sasa…

Post a Comment

16 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wa subhanallah ndokina nani?

    ReplyDelete
  2. labda kama umekata tamaa ya kuzaa, ila mi naona utazaa tu, mi nina dada yangu wa mwaka sabini na moja amepata mtoto mwaka jana november, yaani 2015 mwezi wa kumi na moja.. akiwa na miaka 44. dada yeye akukata tamaa alikuwa anasema mara kwa mara ipo siku nitazaa na kweli Mungu akamjalia. kama utani leo anaitwa mama majaliwa maana Mungu amemjalia. naomba Mungu aliyemjalia mama majaliwa akujalie na wewe... AMEN

    ReplyDelete
  3. achana nao Wema wao wanajiona vidume kumbe wamebambikiwa watoto.

    ReplyDelete
  4. kuzaa siyo sababu ya kumtukana asozaa.hata miti haizai

    ReplyDelete
  5. bonge la fumbo, na siku tukiona tumbo la Madam limekuwa kubwaaaaaaa!

    ReplyDelete
  6. ANAEKWAMBIA USHIKE MIMBA YEYE MWENYEWE KASHIKIWA NA DUME MWENZIE.JINGA TUU

    ReplyDelete
  7. haishi ulimbuke uko ndani ya damu, kaona kapata kumbe kapatikana achana na familia ya uswazi Wema.

    ReplyDelete
  8. hata usipozaa hawakulishi, hawakuvishi wanaumwa na nn? na wao wanamtoto wa kusingiziwa?

    ReplyDelete
  9. kuzaa na jimama sawa na mzazi wako tena kwakubambikiwa? halafu unajisifia lol.

    ReplyDelete
  10. bora Wema ajazaa kuliko kubambikiwa mtoto.

    ReplyDelete
  11. Good Umefanan nae mwanao

    ReplyDelete
  12. Tasa ni tasa tu!

    ReplyDelete
  13. Mungu ndo anajua mwanzo na mwisho wa maisha ya binadamu - Naamini kuwa huyu dada anaweza kuzaa. Kama WEMA atasoma hapa aamini kuwa kuna mtu wa kumsaidia pale USHIROMBO - Bukombe mkoa wa Geita (1300Kms toka dar)

    Mtu huyo ni msabato na anatumia dawa zisizokuwa na masharti mabaya. Nimeona kwa macho yangu hivyo kama yuko seriuos na apige simu 0788 628 696

    ASIDHARAU KWA NAMNA YOYOTE!

    ReplyDelete
  14. wewe unauhakika gani sio tasa? ndo nyie mnaobambikiwa watoto.

    ReplyDelete
  15. hata mama yako ni tasa ndo maana kakuokota vichochoroni Anony 7.33 AM

    ReplyDelete
  16. Uliomwambia meenzio tassa domo lako litabanjuka bila kujijua, bila dawa fyuu

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad