Wema Sepetu Usizae Kiholela Wala Nini. Zari Anataka Kukuponza


Leo imenibidi tu nisemeee. Huko Insta watu wana kazi ya kumshawishi Wema zaa, zaa,mara mgumba, yaani inasikitisha. Wema azae kwa mpango upi labda? Kaolewa useme anajaza choo cha watu bure?

Yule Zari ashazaa watoto wa 3, so ata kizaa 10 wengine haina tofauti ndo maisha aliozoea? Sasa anataka kumponza huyu Wema ambae kwa umri wa yule bibi ni sawa na mwanae, angechelewa kidogo angemzaa, ili awe kama yeye mtu wa kuzaa ovyo ovyo mpaka na watu wa rika la mwanae. Uzaa mpaka na watoto ama kweli wewe kiboko ya uzazi. Khhaaaaaaaaaaa.

Sasa Wema Zari all she wants is to drag you to her level and beat you with experience. Manake ashaa 4 tayari, ashazaa na mtoto mdogo kwake, ashazaa na 2 in 1, yaani kwa experience ya uzazi tu hana mpinzani. Sio kiboko yao tu, ni Mamba

Ukizaa tu UMEKWISHAAAAAAAAAAA! You will no longer be THE WEMA SEPETU rather Wema THE SINGLE MOM! Hahahaaaaa! Kweli mi nakwambia. Sasa tukufatilie nini tena wakati ushaishiwa maarifa, umezalishwa home na kuachwa, umedodaaaa. Kitendo cha kuingia labor, Baaaaaaaaaaaaaaaaassss, sehemu ishapitisha kichwa cha mtoto, nani atakuwa na mda wa kuifatilia?

Sahivi wanavokuandama mgumbaa mgumbaa, wale wale wataanza kazalia nyumbaniiii, kazalishwa hovyooo, sijui nini, unafikiri basi watanyamazaaa, usiwe bwegeee.

We just imagine Irene asingekuwa na mtoto, sahivi angekuwa mbali sanaaaa, Huyo shoga ako alozaa juzi NANI ANA MDA SAHIVI? Hamna hata mwenye mdaaaaaa.

Ligi ya wazazi ni ngumu sanaaaa, muachie Mange Kimambi ndo ameweza ku stay RELEVANT after 3 kids, na sio kwa style yako, ya mashauzi yanataka pesa, sahivi Mange amekuwa politician, sijui activist ndo maana amebaki relevant. Ila wengi sanaaa, uzazi unawapotezaa.

Uzazi usikie tu njiani. Mwenzi Bibi kizee anakutia ndimu uzae ili apate amani na Kaka D. Manake as long as hujazaa anapata shaka leo kesho ukizaa na D ukawa mke mwenzie atajimuder. Sasa kumkomoa huzai wala nini. Mfano mwingine Dada yake D alivotapeliwa na Meneja wetu! Hahahahaaaaaa! Jmani huku kuzaa uwe na roho ngumu.

USIZAE, MPAKA UOLEWE, UWE NA FAMILIA YA KUELEWEKA.

By Lara1-JF
Tags

Post a Comment

18 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. atakapostuka uzeeee huoooooooooooooo hana hata wa kumtuma maji, unadanganywa na wewe unakubali

    ReplyDelete
  2. Hata huyo Mange kazaa na wanaume wawili. Ndoa yake na mzungu imeota kutu siku nyingi ndio anajaribu kuvamia politics au kujifanya activist. Hana u relevant wowote zaidi ya kupost vipicha mshenzi kwenye ki blog chake. Na yeye kaa Wema haishi mabifu na watu. Kiboko yake demu mpya wa Lance. Anaogopa kumtukana anaujua mziki wa Lance. Mfyuuu

    ReplyDelete
  3. mwache agawe. K hajaazima ya mtu. hao walozaa wanayadhahabu au xxx

    ReplyDelete
  4. Ni kweli kabisa mdau.usizae kumake people happy zaa to make urself happy.usiolewe to make people happy olewa to make ur self happy.wasichana wenzangu mmenisoma?

    ReplyDelete
  5. Dai anasema bi kizee mzuri ndani mpaka nje hahaaaaaaaaaaa! umeimgia choo cha kike tena cha mtogole. DNA vepeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!

    ReplyDelete
  6. WANAOMCHUKIA WEMA WANASABABU ZAO.1 HANA´GAA MPAKA LEO. 2 HATA KAMA HANA KIWANJA WALA NYUMBA SIKU ZOOOTE ULIZOKUWA UNALALA KWAKE NA KUMTIA JUU UKULIONA HILO? 3. UNAPOPENDA UNASIFIA SANAAA. MBONA HUSEMI WEMA KAKUMWAGA NA UNASHEA JIMAMA NA KATUNZI?

    ReplyDelete
  7. Yani nyie tem wema mnakong,otwa kweli na wema wenu dadadeki........huyo wema mimwanaume ishamzeesha akiwa na umri mdogo alipo hapo hana tofauti na mzee. Ni bora uzeeke kwa kulea watoto zako kuliko kuzeeka kwa kulea mijanaume ya watu yenye hela,,,,

    ReplyDelete
  8. Anonymus 4.21 umenenajee. Bora kulea wanao hata kama wana mababa tofauti kuliko kulea mijanaume au kunoa majando ya mijanaume kisa mapene. Huyo kura 90 mzee kaa mama ake (figa eit). Kazi kujitoa fahamu na kujiita mtoto. Mfyuu

    ReplyDelete
  9. kweli Anony 4.21 PM. ni bora uzeeke umengángánia mtoto wa miaka 26 akusugue na kumpa mtoto wa baba mwingine, kuliko uzee wa kusubiri kuolewa na mtu mwenye msimamo wa akili.

    ReplyDelete
  10. Dai na Ajuza Zari wakimpigia mafumbo Wema its ok! ila wakijibiwa wanenda mpka kwa millard com kulalamikia eti mtoto anauma. ohh nimemuwekea million 10. so what kiki nyingine hazina mshiko

    ReplyDelete
  11. ulivyomuambia Wema shika mimba if u can. uliona boonge la tusi sasa kuambiwa kampime DNA imekuuma sana Nyooo! utabambikiwa kila mwaka kwa ujinga wako Domo.

    ReplyDelete
  12. WATU BWANA. WANAVYOMTUKANA WEMA HAWAONI MATUSI, WAKIJIBIWA WAO WANAVYOPANIK MBIO MPAKA KWA MILARD OOH ZARI MZURI TAJIRI. KASAHAU ULIVYOKUWA UNALALA NA KULA KWA WEMA. LEO ETI HANA NYUMBA WALA GARI SHULE INAUMIHIMU WAKE JAMANI.

    ReplyDelete
  13. kama kweli mtoto anakuuma kampime dna uache kujishebedua na kizee chako fek Almasi.

    ReplyDelete
  14. Kizee feki kinatumia plastic surgery kumuibia domo mtoto wa tandale ziro hamna kitu Na macho Leo grey,kesho blue kubadilisha mboni km sinema za kihindi fyuu

    ReplyDelete
  15. hivi nyinyi wasenge hamna watoto wenu mkawapime DNA? kwa nini mnang'ang'ania mtoto wa mwenzenu? kwanza mna uhakika gani wa baba zenu ndo waliowazaa??????????? acheni ujinga hata mama yako hana uhakika kama huyo unayemwita baba ni baba yako mzazi na mmeshapewa takwimu kwamba nyinyi wote hamna uhakika na baba zenu

    ReplyDelete
  16. halafu mnambemenda tiffa wa watu mara uende na ivan mara urudi kwa dai na katunzi ndio kisirisiri, wengine ni mamia ya warume wamepitia humo pangoni,, mpaka sura ya mtoto imechora ramani tatu ya tanzania, uganda na south, sura haisomeki vizuri.

    ReplyDelete
  17. hahaaaa. u made my day Anoy 8.58 PM. mtoto anasura ya ramani 3 tz.ug.south

    ReplyDelete
  18. KWELI KABISA!! NAWE KAPIME DNA UONE KAMA HUYO UNAYEMWITA "BABA" KAMA KWELI NI BABAKO!!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad