Yanga Yaichakaza Ndanda FC Jioni ya Leo Yafikisha Point 36

Goli la Yanga African lilifungwa na Kelvin Yondani katika Dakika ya 61 ya kipindi cha pili kwa mkwaju wa penati baada ya mchezaji wa Yanga Simon Msuva kuchezewa madhambi ndani ya jumba la penati.

Ushidi huo unaiweka Klabu ya Yanga African kileleni mwa ligi kwa Pointi 36.

Tags

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Wa-kimataifa si ndio hao bhana!
    Penda sana YANGA.

    ReplyDelete

  2. PISHA NJIA VIDUME VIPITE.YANGA DAIMA!

    ReplyDelete
  3. Habari ndio hiyo!
    Haina kufeli,chezea YANGA!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad