Zari Afunguka..'Wema Sepetu Anawatuma Team yake Wamtukane Mtoto Wangu na Kusema Diamond si Baba yake'

Kwa wiki kadhaa kwenye kwenye mtandao wa Instagram kumekuwa na majibishano ya vijembe kati na Wema Sepetu na Zari hasa kuhusiana na uhalali wa mtoto wa Tiffah kama ni wa Diamond. Zari amepiga stori na @cloudsfmtz moja kwa moja kutoka Sauz.

‘’Ngoja nikwambie kitu mimi ni mzazi ni muda mrefu Wema na timu yake wamekuwa wakimsema mtoto wangu…Mara Oooh Tiffah Katunzi…Tiffah Ivan..Sasa ninachoshangaa Wema hayupo na Diamond sasa mambo ya Tiffah yanamuhusu nini? Haya hata kama mtoto ni mtoto wa hao watu wanaowataja yeye na ‘team’ yake inawahusu nini?,’’Zari.

‘’Yeye sio familia ya Diamond amebaki kuwa ‘ex’ kama akina Jokate,Wolper wote wametulia wanafanya mambo yao,kwanini Wema anatuma watu wamatukane mtoto wangu kuwa angekuwa mzuri tungehama mjini,mara mtoto mwenyewe mbaya,Zombi nimewavumilia sana ndio maana nikawajibu,’’Zari.

‘’Mbona wao wanafake maisha yao kuanzia magari,nyumba ,atafute kazi afanye au a’promote’ lipstick zake ..’No need for DNA Tiffah ni wa Diamond …Nimefunga mjadala,’’Zari.

Post a Comment

35 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Endeleeni tuu tulete refa Na kila mmoja tutampa gloves Na boxer Malaya wakubwa kila mmoja teperetepere mimaji msiotulia fyuuu

    ReplyDelete
  2. Catheleen jener bi zari tulia yameisha msamehe arudii tena naona umekuja juu

    ReplyDelete
  3. Kwa hiyo yeye aliKuwa anawatuma team Yake kumtukana mgumba?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kwani wema mgumba ? Si kazaa mbwa au wale kawaiba hospital?

      Delete
    2. Kwani wema mgumba ? Si kazaa mbwa au wale kawaiba hospital?

      Delete
  4. mhhhh ni shida, we zari jiheshimu we ni mtu mkubwa inawezekana umeshapata wajukuu uko nchini kwako, pia na wewe wema muheshimu zari kwani angewahi kidogo angekuzaa wewe na huyo dai wenu mnayemgombania... ondoeni ujinga wenu! tumewachoka

    ReplyDelete
  5. so na lednaa ni timu ya nani? kumbe anasoma kila anaemsifia Wema?

    ReplyDelete
  6. alijuaje kama team Wema wanamtukana Tifaa. aache unafiki aliingia kwa mbwembwe akadhani atapata kiki mjini. wamemkomesha

    ReplyDelete
  7. Wema kakukaa moyoni hata mtu mwingine akiuliza dna. kwako ni team Wema utajiju Ajuza wa ug

    ReplyDelete
  8. OK TEAM WEMA WANAULIZA DNA. NA TEAM YAKO WANAVYOMWITA WEMA MGUMBA UMEWATUMA AUXXX OPS! LIMEKUSHUKA COUZ MADAM NI MJAMZITO.

    ReplyDelete
  9. utahama madale kwa pleasure bibi wee, kitulize ulifikiri watz woote watakupapatikia nyooo! mafumbo yako yameishia wapi. DNA vepeeeeeee!

    ReplyDelete
  10. Nashangaaa Zari na Dai wakitoa mafumbo rahaaaaaaaa, ila wakijibiwa team Wema. ulifikiri tutamuacha mbogo mwenzetu tukuthamini wewe nyapu yako tunaiona kila cku na matoys

    ReplyDelete
  11. umekuja mjini kwa pupa. tukakuangalia umeambiwa jibu 1tuu, Wema agombani na vizee. atakosa adabu

    ReplyDelete
  12. mtaka nasaba hupata mwingi msiba, ulifikiri tutakupapatikia kisa unatiwa na Domo hukohuko kwenu si bongo. WEMA oyeeeeeeeeeeeeeeeeee.

    ReplyDelete
  13. ug. washakuchoka ukaona uhamie tz kwa pupa. unalo shangazi mtafute Katunzi umpe mtoto wake.

    ReplyDelete
  14. UMECHEZEA MAJIVU SASA MOTO UNAKUWAKIA.HUWEZI TASHTITI KAA KIMYA LEA WATOTO WAKO AU MWAMBIE UKWELI DAI UNA UHAKIKA NA BABA HALALI WA TIFAA

    ReplyDelete
  15. leadnaa na Sinta ni team nani? kutwa wanamtukana Wema mbona hajalalamika kumbe huyawezi eee!

    ReplyDelete
  16. umekubali kushindwa bi Zari, wewe si unajua ugonvi endelea uone. wabongo hawababaiki fikx zako. mdanganye huyu Almasi

    ReplyDelete
  17. gari la Wema limemuuma sana Zari hachoki kulitaja, na nyumba pia? lol wewe si uko madale hutosheki au

    ReplyDelete
  18. hana lolote anaona wivu kumuona Wema anagari hata yeye hawezi kulinunua

    ReplyDelete
  19. TEAM WEMA MNAJIDHIIRISHIA MNAJIUZA KAMA YEYE POLEEEEE ETI BIBI SASA NA HIYO MICHIRIZI SI NI NYANYA KAMA PTUUUUU

    ReplyDelete
  20. tatizo wabongo mmezid uswahili na majungu,ilo linajulikana Africa yote,mlianza na davido na masogogange,mkaenda kwa tecno mpaka akotoa picha zote kwenye account yake ya IG,tafuteni kazi za kufanya mmezidi uswahili mpaka mnakera,maendeleo hakuna kazi majungu na team sijui kitu gani,ningekuwa mimi magufuli ningefunga social media zote Tanzania kama ilivyo iran na nchi nyingine za waarabu hakuna face book wala IG wala tweeter,wenzenu wanazitumia kwa maendeleo nyie umbea na umalaya,mnakera sana,na kuchonganisha watu.

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nice bro ..nimependa hii yako

      Delete
  21. wabongo tafuteni kazi ya kufanya mmezidi drama bitches,kila siku matakoni mwa watu.

    ReplyDelete
  22. Mtenda akitenfewaa. Kama yeye mwanamke atoe DNA kufunga mjadala

    ReplyDelete
  23. Bibi amemzaa mama ako weka card yako ya clinic hapa nyooooooo

    ReplyDelete
  24. na yeye zari aweke kadi lake la klinick ili tipate uhakika wa umri wake maana ivan anasema zari ana miaka 43 na domo anasema zari ana miaka 35. tunataka tupate uhakika nani mkweli doma au ivan.

    ReplyDelete
  25. NA BIBI NAYE AWEKE CARD LAKE LA CLINIC TUONE UMRI WAKE. MAANA MUMEWE IVAN ANASEMA ANA MIAKA (43) NA HUYO HAWARA`KE DOMO ANASEMA BIBI ANA MIAKA (35) TUOMBA KADI LAKE TUJUE UKWELI ISIJE IKAWA KAMA YA SITI MTEMVU HAPA

    ReplyDelete
  26. Imebidi nifatilie,hapa Comments nyingi ni za mtu mmoja.poleni.

    ReplyDelete
  27. kweli ni za mtu mmoja !!!. inaelekea anaumwa sana na roho. pole

    ReplyDelete
  28. pole yako wewe unaesoma Comments ya mtu mmoja. kama unauhakika

    ReplyDelete
  29. Hawana lolote wote wanampenda diamond ndo maana wanapagawa,Chezeeeah kigoma?niulize mm mzaliwa wa huko,diamond anampenda wema true love alafu diamond katolewa mbali sana na wema mpaka sasa ana six pack kifuani,zari diamond penda penda akitokea mwingine msupa anadate nae so usiongee sana usije pata fedheha mwishoni,Chezeeeah dangote

    ReplyDelete
  30. Diamond anampenda sana wema na wametoka mbali,zari umedandia gari katkat ya safar so usiongee sana dangote penda penda hachelewi kudate mrembo mwingine usije umbuka,we tuliiiiia usubir matokeo jua hapo hujafika bado,jipange usubir maumiv Chezeeeah dangote

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad