Vita vikali vya maneno vimezuka Instagram kati ya Zari the Bosslady na Wema Sepetu. Vita hivyo vilianza baada ya kile kinachoonekana kuwa ni maneno kutoka kwa kambi ya Wema Sepetu kwenda kwa Mama Tiffah.
Zari aliamua kutoa ya moyoni kwa kuweka comment kwenye post yake mwenyewe baada ya matusi kutoka kwa kambi ya Wema kuzidi.
“Fake cars, fake houses, fake men, fake everything but they are here to judge.. yall look like just had a fight with a tiger,” aliandika Zari.
“We feel your pain Dee is a loving man. I know what you u missing but guess what, I gat it all by myself. Sent to hell on a one way ticket buried 6ft under #Kasepa #HeIsHappyNow,” aliongeza.
Wema aliamua kutokaa kimya, naye alijibu mapigo.
“Damn, she really got da energy,” aliandika.
“Mi siwezi jamani mambo haya. Kaka kajua kumchanganya dada. Sasa kama kachanganyikiwa si yeye. Mi ningejua kuwa kuna siku nitakuja kummiss kaka nisingemwacha. Akumbuke hilo kwanza. Halafu kingine, hivi mimi ni mwanamke pekee niliyewahi kuwa na kaka au?”
“Maana wenzangu naona hawatajwi ni Wemaa tu. Kuna kitu dada anakitafuta kwangu jamani. Sasa dada kama atasoma hapa ajue this is 2016, afanye mabadiliko basi maana tokea 2014 ana mimi tu, 2015 ana mimi tu na 2016 pia! Baby hujachoka tu bado? Nimejibu kwa mara ya kwanza maana naona umekuwa ukinitafuta muda mrefu mno. Mi maneno kama hayo yako sijui fake nini sinaga. But just if u read this honey, please nitoe kwenye ramani yenu. I no longer live there. And kuhusu kuwa fake, mi nishakubali na fake life yangu ila ningeomba utuwekee DNA ya Baby Tee kwanza. Pumbavu.”
Zari aliusoma ujumbe huo, akajibu:
“Ati DNA for what let her start na DNA ya Swiss then atupe ultrasound kisha ampime mtoto wake then she can ask for Tiffah’s. Hujawahi kuingia labour at unaomba DNA. Wachana na mambo ya wazazi. Endelea kugawa that’s the only thing you can manage. Mtoto wangu asikupe stress don’t beef with a baby, find you levels, Tiffah level nyingine# BabyBoss.”
Wema alituliza mizuka kwa kuandika post: Mama Taught me well…!! Kugombana na mtu mzima ni kukosa adabu…. Sijafunzwa hivyo…!”
dear wema kama unasoma hapa au mtu yeyote aliye karibu na Wema naomba amwambie kuwa anyamaze asijibizane na watu na pia awaambie hao 'team Wema' waache kubishana na watu kwani wanamuharibia. Inaonekana hao kina Zari na Dai show zote za kujionesha kuwa wanapenda zimewaishia sasa wanachofanya wanatumia mtoto kuji-show wazidi kupata kick kwani kwa wao tu hawana tena jipya la kujionesha na kupata kick sasa sababu imekuwa mtoto. WEMA na TEAM WEMA NAOMBA MUWA- Ignore kabisa tuone watatumia njia gani kupata kick mpya katika mitandao. sahivi kila kitu tiffa tiffa. WEMA na TEAM WEMA hebu achaneni na hao watu, msaidieni wema kutangaza biashara yake ya lipstick. BYE
ReplyDeleteyaaa wote washamba tu wangekua kama kina jay z hatungelala.huyo diamond na nyimbo zake za kaswida nashangaa mimi watu kubabaika hata mimi kaswida naimba gad dam shit
DeleteWema alitingisha kibiriti kwa ndomo sasa kaliwa mtaji. Alijua itakuwa kama enzi za akina Jokate na Penny Ndomo alikuwa anaenda kuwakojolea halafu anarudi kwake. Sasa kasubiri kaona ndomo hana dalili za kurudi. Kama ilivyokuwa kwa CK. Hivi lile duka la vipodozi alilofunguliwa na Ivan bado lipo? Tz sweetheart anaambuliaga kura 90?!?? Zari na Wrma Wote wawili mmechemka ptuuu.
ReplyDeleteBig up dear,you are correct,both of them are attention seeker.
ReplyDeleteHahahahaha!both are gold diggers.
ReplyDeleteacheni zenu hapa........mnashindwa kumfunda wema mnampa bichwa kubwa anaboronga halafu mnajifanya nyokonyoko. Anataka dna test ya tiffa yy kama nani pumbavu aliyekosa mayai.....azae wake ndo akatest dna awatumie team wema. Muacheni Diamond na Zarina waishi wanavyotaka kwani wao kumshow off mtoo wao nyie inawapwitaje...stupid you wema na team yako na wote wanaokushabikia kwenye mambo ya kipuuzi. Akili za kuzaliwa huna hata za kuambiwa pia unakosa looooh poleeeeeeeee bibi bomba...................
ReplyDeleteMalaya wana vituko
ReplyDeleteYote Magufuli kufunga milangoni yote ya ufisadi
Fanyeni kazi
madame Ritta anauhisikaji na scandall hiiii
ReplyDeletefyuuuuuuu
wote wahusika ni malaya
si madame Ritta
Madame Ritta ana urafiki na Zari thats why kahusishwa kwenye kumshauri,FYUUUUUUUUUU
ReplyDelete