Zari: Wakiniita ‘Bi Kizee’ Huwa Najiangalia Kwenye Kioo Najiona Mrembo Sana

Zari Hassan
Zari amekuwa akitupiwa maneno mengi ya kashfa kupitia mtandao wa ‘Instagram’ hasa kuhusu suala la umri wake kuwa ni mkubwa kuliko mpenzi wake Diamond.

‘’Naona kwenye Instagram wakiniita mie mzee,lakini nitafanyeje,lakini nikijiangalia kwenye kioo najiona mrembo sana,’’Alisema Zari.

Post a Comment

12 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Zari wewe mzuri sanaa tuuu! Huo uzee wanausema wapinzani wako ni wa kumzidi Umri baba Tiffa! Lakini your young and mrembo kuliko! Naweza sema wako wasichana wadogo wakilinganishwa nawewe wataonekana wazee! Keep it up!

    ReplyDelete
  2. Hata mie nakuona mrembo hasa hiyo dental fomular yako hakika we mrembo na kabinti kadogo

    ReplyDelete
  3. Mzuri sn hats ukiendelea kuekeza zaidi watoto sita still your beautiful mama keep it up

    ReplyDelete
  4. Wakuachege Na kijeba wako mpo swafii

    ReplyDelete
  5. Bahati mbaya umri hua haurudi,unasonga

    ReplyDelete
  6. kwani uzee ni sura au umri? huwezi ukajiona watu ndo waonao ila we wajipima umri wako sio kuwa make-up ndo kujipima haa! basi we bado mtoto njoo tukuvalishe nepi bhana bado unanyonya si aujui!

    ReplyDelete
  7. mbona we mkali tuu tena saaana uzee uko wap ss mbona hao hawajazaa lkn wamezeeka tayar wengne hata wana mtt mmoja lkn kwisha ur beutiful baaan kwa kweli achana nao

    ReplyDelete
  8. Hata Mimi nilikua Na mabwana wawili nilipendeza Sana Na Nina miaka 50 tuu

    ReplyDelete
  9. uzuri ni tabia . na uzee wako unakuja pale unapokuwa na dai ila ukiwa na ivan we ni sawa yake. jaribu kutumia akili.

    ReplyDelete
  10. ZARI WEWE MZURI SANAAANA TU WANAKUITA MZEEE ACHANA NAO WAACHE WASEMA NAFSI ZAO ZINAWASUTA.!!!

    ReplyDelete
  11. hata miye sioni huo uzee wanaokusema nao. wivu wao!!

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad