Afande Sele |
Ikiwa imepita siku moja toka mbunge wa Geita Vijijini, Joseph Msukuma (CCM), kusema haoni sababu ya serikali kuzuia bangi kuwa zao la biashara kwa maana haoni madhara yake huku akidai kwamba viroba vina madhara zaidi kuliko bangi, Afande Sele amefunguka na kusema serikali ihalalishe matumizi ya bangi na si kukosoa juu ya hoja hiyo ya Joseph Msukuma.
Afande Sele amedai kuwa kuna nchi ambazo tayari wao wamehalalisha matumizi ya bangi na kuthibitisha kuwa pombe ina madhara makubwa zaidi kuliko bangi.
"Legalize it, Don't criticize it. Korea Kaskazini, Marekani, Mexico Uruguay na mataifa mengine ya Ulaya yamethibitisha pombe ina madhara kuliko Cannabis Sativa" Amesema Afande Sele.
Afande Sele nae atakuwa mvutaji
ReplyDeletendio maanake
DeleteAfande Sele nae atakuwa mvutaji
ReplyDeleteUnauluza karafuu pemba
ReplyDeleteHuyu sele sasa kachanganyikiwa hivi uoni wenzio walivyopotea na game imewashinda , umempoteza na 20% kwa hizo bangi, ndio maana madee anakuponda Una akili za kuvuka barabara Tu.
ReplyDeleteAfande Sele nae atakuwa mvutaji
ReplyDeleteAfande Sele nae atakuwa mvutaji
ReplyDelete