Alikiba Aeleza Kwanini Hakuweza Kumuoa Mwanamke yeyote Kati ya Watatu Aliozaa Nao

Alikiba ameitaja sababu iliyomfanya ashindwe kumuoa mwanamke yeyote kati ya watatu aliozaa nao.

Hitmaker huyo wa Lupela alikiambia kipindi cha Chill na Sky kuwa hakupenda kulazimisha iwe hivyo.
“Unajua hauwezi kumuoa mtu kama hamuelewani. Nia yangu ilikuwa ni kustick na kila mama wa mmoja toka nilipoanza. Lakini mambo yanaenda tofauti, huenda mnagombana anapata mtu mwingine,” anasema Kiba.
“Kwahiyo hautakiwi kuforce mapenzi, mimi nataka nikae na mtu ambaye tutaelewana,” ameongeza.

Alikiba ana watoto wawili wa kike, Amiya Kiba, Chamy Kiba na mmoja wa kiume, Sameer Kiba. Wote ni watoto wa mama tofauti.

Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Kiba alikuwa anatafuna tu!!

    ReplyDelete
  2. we chenga tu walewale type za kina wema.....haiwezekani wanawake watatu wote mpaka wabebe mimba zako halafu wawe chenga eti ww ndo mwenye akili. We ni kicheche tu ukiwa nao ndo unajifanya unawapenda unawapa mimba na kuwatelekeza halafu unajitapa. Umemsahau hata mungu wako na hukumbuki kua unayoyafanya ni kinyume na matakwa yake.........Zaa tu watoto nje ya ndoa halafu unaona we mjaaanja sana......sikutegemea kama kioo cha jamii uongelee upuuzi wako hadharani ambao ni kinyume na maadili ya jamii....unaifundisha nn jamii hapo sasa.Mwanamke akizaa na wanaume tofauti kama ww hvyo hua hatushangai sana maana wenzetu hua wanaangalia economical pottential zaid lkn kwa mwanaume kila mtoto na mama yake moja ni umalaya na mbili una matatizo ww........unadhani utampata malaika wa kuoa hapa duniani lamda mpaka ufe ukaolee mbinguni ndo utampata.....

    ReplyDelete
    Replies
    1. Walikuwa wana tega mimba makusudi hao ili wazae na kiba hamna lolote mnashangaa kiba watatu tu mbona wadogo wapo wana watoto 18 na nje yandoa yote maisha kila mtu afanye yake.

      Delete
  3. Walikuwa wana tega mimba makusudi hao ili wazae na kiba hamna lolote mnashangaa kiba watatu tu mbona wadogo wapo wana watoto 18 na nje yandoa yote maisha kila mtu afanye yake.

    ReplyDelete
  4. mpeni ushauri na Dai nae amuoe kizee chake!

    ReplyDelete
  5. Mmmh co bure ana ttz Kiba mwanamke mpaka anakubali kuzaa lazima kuna vitu ulikua unawaahidi

    ReplyDelete
  6. kwani wanaoaga hawa yule mbaba AY nae alisema bado yupoyupo sana yule ni wa long sana tumeanza kumjua miaka ya 90 akiwa mbaba hivyohivyo,. hao wasanii awaoi wala awaolewagi sijui ndio uganga wao ni zinaa na wana wao wanawazaa kwenye zinaa.

    ReplyDelete
  7. Ovyoo msonyo kubwa jinga

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad