Askofu Gwajima Azushiwa Kifo kwa Shinikizo la Damu Hospital ya TMJ


Siku ya Jana jumapili kulizuka ghafla habari kwenye mitandao ya kijamii hasa Whats app kuwa Askofu Gwajima Amefariki dunia katika hospital ya TMJ jijini Dar kwa shinikizo la Damu ...
Udaku Special tuliwasiliana na mtu wake wa karibu na kupangua tuhuma hizo na kusema kuwa Askofu Gwajima yupo Kigoma na ana afya nzuri kabisa na kwamba hizo habari

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.

Top Post Ad

Below Post Ad