Baada ya Rich Mavoko Kukana Kutoka Kimapenzi na Gigy Money, Gigy Aanika Chat zao

Baada ya video queen Gigy Money kudai kuwa aliwahi kutoka kimapenzi na Rich Mavoko na baadae staa huyo wa wimbo ‘Pacha Wangu’ kukanusha, Gigy Money aweka wazi chati zao za WhatsApp.

Gigy Money, alipost instagram chat hizo na kila moja kuiandika ujumbe wake. Hata hivyo baade alizifuta post hizo.


“Mimi mwenyewe sikujui vilevile” aliandika Gigy.


“Ahahhahaha unajua mavoko ntakudhalilishaaa ….mm ni mkimyaaa tu sio Mpole ata kidogo …unajikuta umenisahau bwege ww” aliandika Gigy.


“Banduguuuuuu kujichubua kwako ndio nkuogope weeee Richard wewe umeombaaa watu wanipigie nisikutie aibu sasa unaletaaa utoto sina nachokipoteza kumbukaaa I don’t care😂😂😂😂” aliandika Gigy

Post a Comment

3 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. umalaya unamsumbua huyu mwehu hajielewi mavoko akikukalia sawa mgonge tena akafie mbele

    ReplyDelete
  2. Kwani wote si wanajuana wakiwa uchi hatari kitugani hatakama kuna video za wakati mki Do ziwekeni tu si kama movie tu.

    ReplyDelete
  3. Nyie wanaume msio na heshima kwa wanawake sababu tu umeumbwa mwanaume. Uwe na akili huna ni dharau tu kwa mwanamke unamwona kama chombo unachokimiliki. Una mama mzazi aliyekuzaa au umeanguka tu. unamdharau pia mamako aliyekuzaa wewe. nammwoe huruma mamako. Labda hasomi hizi habari. Ya kale yamepita kumwona mwanamke kama chombo. Na nyinyi wanawake msio na haya mnajiuza kama kitumbua hamna akili na mnajidharalisha tu. Je hamjasoma mkaelewa elimu ni mali na tumia elmu badala ya kutumia Mwili wako kibiashara. Hujui mwili wako ni hekalu takatifu. Unajiruhusu kutumbuliwa kama mnyama. hata mnyama ana misimu. Ukijiachia ndipo unaokotwa. Utatumika kama nguo na kuchakazwa. Usilaumu utakaposemwa vibaya, kwani umwjiruhusu mwenyewe. Chema chajiuza kubaya chajitembeza.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad