Wema Sepetu Ameandika maneno haya kwenye page yake:
Wemasepetu - "Ni kweli. Na imeniuma sana lakini nimefika kwenye hatua maishani mwangu naweza kusema Alhamdulillah for everything.
Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wameonyesha moyo wa kibinadamu. Nawashukuru kwa upendo wenu, MNANIPA NGUVU.
Alhamdulillah kwa wote wanaojua uchungu nilionao na wamefurahia kwasababu zao binafsi. Nawashukuru kwa uwepo wenu, MNANIPA UJASIRI.
Alhamdulillah kwa siku ya kesho. Ilimradi nina pumzi, SITACHOKA KUJARIBU TENA.
Hata ukikosa, ukakosa, ukokosa eeeeeeh...sema ASANTE, KWELI YEYE NI MUNGU.
Alhamdulillah for EVERYTHING! " Wema Sepet
Alhamdulilah m.mungu akupe nguvu,Na afya Tele mamy your stronger than ever
ReplyDeleteFake pregnancy tafuta kiki nyingine sasa coz ulikua huna mimba
ReplyDeleteFake mimba, fake life, fake gari. Hukuwa na mimba hata siku moja. Ulitaka kiki mjini. Sasa unatafuta sympathy which you do not deserve. Siku ile umejitapisha kusudi ili watu wahisi una mimba kweli. Kinyaaa..ptuuu
DeleteHahaha eti kaweka kipicha cha twins. Wema utaacha lini drama? Hukuwa na mimba stop believing in your lies. Unachoshaaaaa
DeleteMimi kama mwanamke ninajua ni jinsi gani unavyojisikia pole sana m/mungu akupe nguvu ktk kipindi hiki kigumu inshaalah usichoke kujaribu utapata kilicho ridhki yako
ReplyDeleteFake mama yako na shangazi yako alojitia maatoys mpaka ukazaliwa wewe Anony 6.14. PM
ReplyDeleteHata kama kajitia matoy lakini watoto anao. Wema je? Once fake always fake..anonymous 7:56. Piga ua. Zari anawanyoosha. Hahahahaha
DeleteSasa yale makampuni yaliyofanya mazungumzo na wewe itakuwaje? Hivi waliamini kweli ulikuwa na mimba? Lakini matambara yako ulijuwa kuwa vaa vizuri. Yalikaa kimimbamimba hasa. Kweli wewe ni msanii.teh teh teh
ReplyDeletePole wema.
ReplyDeleteLiwema lijinga sana...muda si mrefu litaanza kuokota makopo
ReplyDeleteU don't have to insult her. I think its good to give advice than abusive world. Were are all different u don't have to judge someone for what is happening to her life. Fake or not God is the one to judge.
ReplyDeletekwani ilikuwaje mpaka mimba ikatoka? ilikuwa ya miezi mingapi?au ni zile mimba za kufikirika?? any way kama ni kweli pole saaana wema.ila ushauri wa bure siku nyingine ukishika mimba tulia kimya sio mpaka utangaze. acha ijitangaze yenyewe maana huwa haifichiki. kama ni kiki umeumbuka.
ReplyDeleteKwanza Pole. Ila wee bado mdogo ya nini kujitafutia majukumu mazito namna hiyo. Huyo Z anayekupa pressure ana raha gani naye familia na watoto wadogo wamesambaa afrika nzima. Work on yr self first yr mental wellbeing being, loose weight, fanya kazi, jenga nyumba na umwombe Mungu akupe mume mwema sio hivyo viserengeti boy.
ReplyDelete