Breaking News: Ajali Nyingine Tanga..Basi la Simba Mtoto Limegongana Uso kwa Uso na Semi Trella


Nduguzangu inavyosemekana Tanga kumetokea ajali kubwa ya bus la Simba Mtoto ya saa kumi na mbili inayondoka tanga kuja dar na imekutana na Semi Trella uso kwa uso kwenye maeneo ya panda mlima jirani na hale majeraha wako muheza teule na maiti bado zimebanwa kwenye bus subhaana llah eemungu tustiri wajawako na utujaalie mwisho mwema inshallah



Post a Comment

8 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. poleni majeruhi wote

    ReplyDelete
  2. Tafiti zifanyike kubaini tatizo,kama chanzo cha ajali Tz ni barabara,madereva au magari?

    ReplyDelete
  3. Mungu ataleta rehma zake Na kuwapa uzima majeruhi as soon as possible ameen

    ReplyDelete
  4. kwa nini mabasi ya samba mtoto yana historia kubwa ya kupata ajali?

    ReplyDelete
  5. EE MWENYEEZI MUNGU MWINGI WA REHMA. TUNAOMBA UWAPONYE KWA HARAKA MAJERUHI, NA UWAPE SUBRA NA FARAJA NDG NA JAMAA WOTE WALIOONDOKEWA NA WAPENDWA WAO. MWENYEEZI MUNGU TUSITIRI YAILLAHI

    ReplyDelete
  6. MBONA NCHI ZINGINE AJARI KAMA HIZI HAZITOKEI. AU HAPA TZ SABABU YA KUWA NA MABOGASTI DRIVER

    ReplyDelete
  7. Ajali zinatokea sehemu nyingi Duniani. Hapa kwetu taarifa zinapatikana kiurahisi, kutokana na ubora wa mfumo wa mawasiliano.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad