Breaking News: Mbowe Atangaza Baraza la Mawaziri Kivuli leo Bungeni

Kiongozi mkuu wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe ametangaza baraza lake la mawaziri kivuli leo bungeni mjini Dodoma.
Mbowe, ambaye ni Mbunge wa Jimbo la Hai na Mwenyekiti wa Chadema ametaja baraza lake ambalo litakuwa na lengo la kuishinikiza serikali ya Rais Magufuli kutimiza kile alichoahidi kwa Watanzania.

Baraza hilo ni kama ifuatavyo;
1.Wizara ya Ofisi ya Rais, Tamisemi, Utumishi na Utawala Bora.
Mawaziri – Jaffar Michael
Naibu Waziri – Joseph Nkundi na Ruth Mollel

2.Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira
Waziri – Ali Saleh Abdalla
Naibu Waziri – Pauline Gekul

3.Ofisi ya Waziri Mkuu: Sera, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Walemavu
Waziri – Esther Bulaya
Naibu – Yusuph Makame na Maftah Abdalla

4.Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi
Waziri – Magdalena Sakaaya
Naibu Waziri – Emmaculate Swari

5.Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano.
Waziri-Inj. James Mbatia
Naibu Waziri Willy Kombucha

6.Wizara ya Fedha na Mipango
Waziri – Halima Mdee
Naibu Waziri – David Silinde

7.Wizara ya Nishati na Madini
Waziri – John Mnyika
Naibu Waziri – John Heche

8.Wizara ya Katiba na Sheria
Waziri – Tundu Lissu
Naibu Waziri Abdalla Mtolela

9.Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afika Mashariki, Kikanda na Kimataifa.
Waziri – Peter Msigwa
Naibu Waziri – Riziki Shaghal

10.Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Waziri – Juma Omari
Naibu Waziri Mwita Waitara

11.Wizara ya Mambo ya Ndani
Waziri – Godbless Lema
Naibu Waziri Masoud Abdalla

12.Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi.
Waziri – Wilfred Lwakatare
Naibu Waziri – Salum Mgoso

13.Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri Esther Matiko
Naibu Waziri– Cecilia Pareso

14.Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji.
Waziri Anthony Komu
Naibu Waziri Cecil Mwambe

15.Wizara ya Elimu, Sayansi Teknolojia na Ufundi
Waziri – Suzan Lyimo
Naibu Waziri Dkt. Ali Suleiman Yusuph

16.Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Waziri – Dkt. Godwin Mollel
Naibu Waziri Zubeda Sakul

17.Wizara ya Habari, Utamadu, Wasanii na Michezo
Waziri – Joseph Mbilinyi
Naibu Waziri – Devotha Minja

18.Wizara ya Maji na Umwagiliaji
Waziri – Hamidu Hassan
Naibu Waziri– Peter Lijualikali
Tags

Post a Comment

2 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. SASA HAWA MAWAZIRI VIVURI WANAMADARAKA GANI

    ReplyDelete
  2. NIMEFURAHI MNO KWA UTEUZI HUU MZURI NA MAKINI BARAZA HILI KIVULI ILI KUWEZA KUFANYA KAZI KWA KINA NA UCHAMBUZI WAKIENDA SAMBAMBA NA MAWAZIRI WA SERIKALI YA MAGUFULI.BAADA YA KUUONA UTEUZI HUU MAKINI WA BARAZA NATAMANI 2020 IFIKE HARAKA ILI BARAZA HILI HILI 'KIBOKO'LIWE NDILO BARAZA RASMI LA DOLA,WAZIRI MKUU AKIWA NI MHESHIMIWA FREEMAN MBOWE NA RAIS WETU AKIWA KIPENZI KIKUBWA CHA WATANZANIA WALIO WENGI,MHESHIMIWA EDWARD NGOYAI LOWASSA.HAYA YATAKUJA,NASEMA YATAKUJA TUU ILA MRADI KUANZIA SASA TUANZE KUJIPANGA VIZURI NA KUSHIKA KIUTAWALA KUPITIA CHAGUZI ZA LOCAL GOVERNMENT ZA KILA KIJIJI,KILA KITONGOJI,KILA KATA,KILA WILAYA,MKOA KWA MKOA.HII NDIYO UKAWA,UKAWA YA WANANCHI,UKAWA YA WATANZANIA.MUNGU BABA TUNAKUOMBA SISI WAJA WAKO UIBARIKI UKAWA NA UENDELEE KUTUSHUSHIA REHEMA ZAKO BABA ILI 2020 NOVEMBA,KUPITIA MASANDUKU YA WAPIGA KURA WATANZANIA,UKAWA ING'AE NA KUCHUKUA DOLA,NA HII NI KWA MAPENZI YAKO BABA MAANA UTATUMULIKIA UKWELI WA CHAGUO LAKO,EMEEN. NAITWA PPP PANGAWE.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad