Breaking News: Vigogo Wanne MSD Wamesimamishwa Kazi Kwa Ufisadi wa Billion Moja
1Udaku SpecialFebruary 15, 2016
Waziri wa Afya, Ummy Mwaimu amewasimamisha kazi vigogo wanne wa bohari ya dawa (MSD) kwa tuhuma za ubadhirifu wa billion 1 na nusu ili kupisha uchunguzi dhidi yao.
MAFISADI WATANYOOKA TU. ILA SERIKALI MUWE MUNAHAKIKISHA PESA ZINARUDI
ReplyDelete