Breaking News: Waziri wa Elimu Amfuta Kazi Mkurugenzi wa Bodi Ya Mikopo Kwa Utendaji Mbovu
9
February 16, 2016
Waziri wa Elimu, Sayansi,Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Profesa Joyce Ndalichako amemfuta kazi Mkurugenzi wa bodi ya mikopo na wakurugenzi wengine wa nne kutokana na utendaji mbovu katika kuendesha bodi hiyo.
Tags
Poleni wafanyakazi WA serikalini Chonde Chonde chukueni ustaafu kwa manufaa ya umma au ugonjwa wengi wenu mmefanya kazi miaka mingi Na kwa taratibu zilizikuwepo
ReplyDeleteAu mazoea ya vimemo au simu au SMS
Hii kasi mpya si sidhani mtaiweza. Waacheni wachaguwe watu wao maisha hayo serikalini au mashirikani
Haangiliii kichwani umefanya kazi kupita umri WA waziri eti akufukuze kazi
Umepita awamu zote za urais ukiwa kazini
Staafuuuni waachieni Na tumbua majipu Yao
Sikatai yapo majipu lakini si yote wengine tunafanya kazi kufuata maagizo ya wakubwa Kama tulivyozoea
Pole,inaonekana yamekukuta.
DeleteKwa taarifa yako tu hakuna mtu anasimamishwa kazi bila kujidhirisha.Na pia haingii akilini eti mtu ana miliki ghorofa 4 mjini,magari 6 huku kafanya kazi miaka 13 tu eti kisa ni mtu wa mikopo,mbona wengine wako hapo hawajawa na mali hivyo?Msikurupuke,wacha tu wafukuzwe wako wengi waadilifu wanataka ajira.
WEE NAE SIJUI UMEKUNYWA MAJI YA MTARONI,KWANI HATA VIMEMO KUNA MGAO HUWA SIO BURE KWA HIYO WAWAJIBISHWE TU.TUTANYOOKA TU.
DeleteHata akistaafu kama kafanya kosa kabla ya kustaafu
Deleteni muhujumu uchumi na sheria itachukua mkondo wake.
Sina maana walifanya kazi juzi Kuma wewe Na wasenge wengine
DeleteSoma vizuri nilivyoaandika
Awamu tano waandishi ndo mol huuuuu
Kufa kufaana kila kiongozi andikeni mtaandaoni
Magufuli unaendesha serikali kwa taarifa kwa kufany kazi mtaandaoni
Ndalichako Hongera kama Kweli waaliba
ReplyDeletemwaka wa tumbua tumbua tu!!! wataisoma namba!
ReplyDeleteMtajiju miaka Miwili nyumba tatu za kutisha,usafiri wenye akili sasa time imefika lazima watambue Jembe linapita Na halimfichi mtu Serikslini wote mkae mkao WA kula
ReplyDeleteNilikuwa nalisubiri hili sana,na usingemtumbua ningesema wewe Ndalichako ndio utumbuliwe.
ReplyDelete