Breaking News...Zitto Kabwe Atangaza Kusameheana na Freeman Mbowe...

Zitto Kabwe Akipeana Mikono na Mbowe
Kupitia ukurasa wake wa Facebook muda mchache uliopita, Mbunge wa Kigoma Mjini, Zitto Kabwe ameweka picha yake na Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe na kuandika hivi; "Mimi binafsi siwezi kuwa mfungwa wa magomvi yetu ya miaka ya nyuma. Nilishasamehe walionikosea…Mbowe siku zote amekuwa Kiongozi wangu na siwezi kubeza nafasi yake katika kujenga demokrasia nchini. Tulipishana. Tulikoseana. Tusameheane"

Tulia utafakari, halafu tupe maoni yako

Post a Comment

1 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Hongera sana Rais wa awamu ya...................
    We ni kichwa bwana,wakubali au wakatae lakini hivyo ndivyo ilivyo.

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad