Bungeni...Halima Mdee Adai Chama cha Mapinduzi Kimechoka....

Wakati Bunge lilipokuwa likipamba moto kwa mabishano hapo jana, Mbunge wa Kawe Halima Mdee (CHADEMA) alisikika akisema kuwa Chama Cha Mapinduzi CCM kimechoka.

Je unakubaliana na kauli hii ya Halima?

Post a Comment

6 Comments
* Please Don't Spam Here. All the Comments are Reviewed by Admin.
  1. Anatafuta kiki huyo hana lolote mlopokaji tuu

    ReplyDelete
  2. Kimechoka duniani hadi akhera

    ReplyDelete
  3. Mwanamke kijana WA kwanza toka upinzani Kuwa mbunge jimbo la kawe rais, mawaziri, watu maarufu wote wapo jimboni kwake
    Hongera Halima

    ReplyDelete
  4. WE FALA KIKI ZA KAZ GAN KWAN HANA KAZI MBUNGE HUYO KAKAA MJENGONI MDAA ANAPIGA NOTE WW UNAKALIA UKUMAA HAPAAA

    ReplyDelete

Top Post Ad

Below Post Ad